Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Toka Juzi aliishiwa ameanza weka porojo za kiutu uzima, hajajibu kitu!
Hata sijamuelewa anaongea vitu gani aisee..Mwakalinga kusoma SUA na kukopa dagaa sijui vinahusiana nini!!!!!!!!!😱😱
 
Angalia post ya 961.

Naona wamekuwekea Advert ya umeme hewa mzee Fataki.
 
Sikonge,nafurahi kusikia waniheshimu mkuu,nami nakuheshimu sana tu...Sidhani kama ni kosa kutaka Mwakalinga aweke CV yake hapa(keshayavulia maji nguo aisee..........),maana hiyo CV ndo itatueleza yeye ni nani na pia itajibu hayo maswali yanayojitokeza kila wakati kuhusiana na hiyo SUA..Halafu,George njia aliyoitumia (kwangu mimi) naona itammaliza mapemaaa kabla hata form hazijaanza kuchukuliwa...Binafsi,ningekuwa mimi ningesubiri muda muafaka ufike niingie uwanjani(bila hata kujinadi kupitia hapa JF),nina uhakika mengi yanayoandikwa hapa kuhusu George kuna watu wanayahifadhi/wanayachukua kwa lengo la kuyatumia hapo baadaye...George angetulia tu asubiri muda ufike achukue form aanze kujinadi,sasa hivi kaanza mapema mnooo(nionavyo mimi)...

Balantanda,

You are very right. Ndiyo maana George kwa sasa hawezi kuweka CV yake na hasa hapa JF. Muda ukifika, atafungua WWW na kuweka habari zake zote na kila kitu kitaandikwa hapo. Sababu ya yeye kuacha SUA ilikuwa zaidi ni sababu ya KIFAMILIA. Ndiyo maana nimekuandikia hapo kuwa waliondoka yeye na dada yake.... ukisoma kwa mbali unaweza kupata mwanga. Ila sababu hasa kwa kweli na ibaki ya kifamilia. Amini nakuambia, hata ungelikuwa wewe, wampenda dada yako basi ungeliondoka. Na Mungu bariki ondoka yake pale imekuwa ya mafanikio makubwa.

Kama umesoma post za nyuma za Mtanzania, kundi la M-Mbeya wamekuwa wakimuandama sana. Wengi wao hawa unawaona hapa kuuliza CV na SUA, ni kundi hilo. Waliandika hadi makala kwenye MAJIRA wakati Mwakalinga hata Tanzania hajafika. Walipeleka hadi mtu UK na kuomba huku wakileta VITISHO kuwa ASIGOMBEE Kyela. Tatizo anakuomba usigombee huku anakupiga vita. Sasa hii kitu hata kama ni wewe utakaa kimya? Hata kama hukuwa umepanisa kugombea, mwisho unachukia na kusema "ehhh, sasa ngoja nisikilize kilio cha watu na changu mwenyewe, nigombee Ubunge".

Wakati Mwakalinga hata Kyela hajafika, Malafyale akaweka hapa ujumbe kuwa Mwakalinga yuko Kyela na kafanya Mkutano. Kumbe wakati huo Mwakalinga yuko Arusha. Wakageuza kibao kuwa kaenda Monduli kukutana na Lowassa, wakati huo Lowassa yuko Dodoma. Tulipombana Malafyale (ambaye sasa naona kabadili jina) akaja na neno "eti Mwakalinga alikuwa Kyela KIROHO". What a ****, KIROHO?????? Kwa hiyo, Mwakalinga hakutangaza, ila kambi ya wapambe wa M-Mbeya ilitangaza.
 
Sikonge,hizi ni dalili kwamba UMEISHIWA HOJA..Mambo gani haya unaanza kuandika aisee

Balantanda,

Sijaishiwa. Huo ujumbe ni kwa MWAIPOJO peke yake. Ukisoma yote yaishie hapo. Zaidi kama nilivyosema sintakujibu maana heshima kwa mbele sana. Ila Mwaipojo huyo ni wangu tu leo .........

Masanilo, huyu kijana Mwaipojo, leo itabidi nimpeleke ISELAMAGAZI na kumtengenezea RINGI. Atakula MISANA, hadi ataje majina yake yote anayoingilia humu JF.
 
Leo umejibu walau sababu ni za KIFAMILIA zaidi na si ACADEMIC, ngoja wajuvi tufatilie tujue na kisa cha dada yake kusababisha George Mtanzania kukimbilia Poland tutafahamishana......
 
Balantanda,

You are very right. Ndiyo maana George kwa sasa hawezi kuweka CV yake na hasa hapa JF. Muda ukifika, atafungua WWW na kuweka habari zake zote na kila kitu kitaandikwa hapo. Sababu ya yeye kuacha SUA ilikuwa zaidi ni sababu ya KIFAMILIA. Ndiyo maana nimekuandikia hapo kuwa waliondoka yeye na dada yake.... ukisoma kwa mbali unaweza kupata mwanga. Ila sababu hasa kwa kweli na ibaki ya kifamilia. Amini nakuambia, hata ungelikuwa wewe, wampenda dada yako basi ungeliondoka. Na Mungu bariki ondoka yake pale imekuwa ya mafanikio makubwa.

Kama umesoma post za nyuma za Mtanzania, kundi la M-Mbeya wamekuwa wakimuandama sana. Wengi wao hawa unawaona hapa kuuliza CV na SUA, ni kundi hilo. Waliandika hadi makala kwenye MAJIRA wakati Mwakalinga hata Tanzania hajafika. Walipeleka hadi mtu UK na kuomba huku wakileta VITISHO kuwa ASIGOMBEE Kyela. Tatizo anakuomba usigombee huku anakupiga vita. Sasa hii kitu hata kama ni wewe utakaa kimya? Hata kama hukuwa umepanisa kugombea, mwisho unachukia na kusema "ehhh, sasa ngoja nisikilize kilio cha watu na changu mwenyewe, nigombee Ubunge".

Wakati Mwakalinga hata Kyela hajafika, Malafyale akaweka hapa ujumbe kuwa Mwakalinga yuko Kyela na kafanya Mkutano. Kumbe wakati huo Mwakalinga yuko Arusha. Wakageuza kibao kuwa kaenda Monduli kukutana na Lowassa, wakati huo Lowassa yuko Dodoma. Tulipombana Malafyale (ambaye sasa naona kabadili jina) akaja na neno "eti Mwakalinga alikuwa Kyela KIROHO". What a ****, KIROHO?????? Kwa hiyo, Mwakalinga hakutangaza, ila kambi ya wapambe wa M-Mbeya ilitangaza.

Ndo maana nikasema Georgr kaanza mapema mnooo...Siasa za Bongo kila mtu anazijua eti,Ni mchezo mchafu...So George awe tayari kukabiliana na lolote litakalosemwa katika kipindi hiki kigumu mpaka kufikia kura za maoni...Halafu,lawama msimpelekee zaidi huyo M-Mbeya,mnajuaje labda kuna mtu mwingine naye anajipanga kimya kimya kulitwaa jimbo hilo la Kyela,cha msingi tusubiri tu wakati muafaka ufike
 
[/B]

Angalau sasa umeanza kuongea bro..
 
Leo umejibu walau sababu ni za KIFAMILIA zaidi na si ACADEMIC, ngoja wajuvi tufatilie tujue na kisa cha dada yake kusababisha George Mtanzania kukimbilia Poland tutafahamishana......

Tafuta tu kaka yangu. Mwakyembe atakushuruku sana.

Hata hivyo nafahamu kuwa ukishafahamu, hutaandika hapa na utakaakimya maana ukiandika, utampandishia jamaa chart kuwa jamaa kweli ana upendo na family man. Siku zote anasimama kutetea Wanyonge.

Na kwa sababu hiyo hapo juu, heri uiache tu iende. Siku ikifika, tutaamua itumie kwenye kampeni au laa. Ila watu kama ndigu yangu Masa mkitusaidia kuisambaza bila malipo, itakuwa poa pia maana yeye au sisi tukiandika, mtaanza kusema "tunataka sympathy za watu". Juzi niliandika hapa na watu wakanijibu hivyo. So Masanilo, go ahead......
 
MITANZANIA MINGINE INA WIVU WA KIJINGA :Benjamin William Mkapa
 
Hivi sio (Mitanzania mingine in wivu wa kijinga na wavivu wa kufikiria - WB Mkapa)?
 
Sikonge!

NitakuPM mzee wangu wewe ukiamua kubadili ID umwage hapa itakuwa si MASANILO
 
Mzee rekebisha hapo sisi wengine tulisoma mambo ya Gender and Gender rights unatukwaza..hutendei haki hapo mama zetu! hata kama wewe umeathirika na mfumo dume

Umeshai QUOTE hata nikirekebisha haina maana tena. Asante kwa hilo

Ila niliuliza swali tu mzee, nahisi Mkapa alisema hivyo!
 
Ninyi mnaomjua Mwakalinga vizuri tuwekeeni CV yake hapa ili kukata mzizi wa fitina...ioneshe alizaliwa lini,alisoma wapi shule ya msingi,sekondari,chuo(under graduate),alikopata hizo Masters zake 3(kama sikosei) na mazagazaga mengine..hapo ndo tutajua huyu mheshimiwa kasoma SUA ama la

Balantanda,

Nina CV ya Mwakalinga hapa ambayo iligawiwa alipokuwa hapa Kyela:
1. Alisoma Rungwe secondary na kumaliza 1982
2. Tambaza High school na kumaliza 1985
3. UDSM kwa miaka miwili mpaka 1988
4. SUA kwa mwaka mmoja mpaka 1989 (hakumaliza shule yake)
5. Chuo cha Lugha Poland mwaka 1990
6. Wroclaw Technical university 1991 mpaka 1997 for M.Sc (Computer Science na kupata first class with distinction degree.
7. 1997 alipewa full scholarship ya Ph.D hapo hapo chuoni ikiwa ni kawaida kwa wanafunzi waliokuwa wanapata distinctions kwenye masomo yao.
8. 1997 kabla tu ya kumaliza shule alipata kazi kama telecom Engineer kwenye kampuni ya Wamarekani ya Lucent Technologies.

9. 1999 Akahamishiwa Lucent Technology UK, akaamua kuacha masomo ya Ph.D na kuendelea na kazi yake nchini UK.

10. 2006 Akahamia Huawei Technologies kampuni ya Wachina kama mshauri mwandamizi wa mambo ya ufundi wa British Telecom (BT) akiwakilisha Huawei Technologies.
11. 2006 akapata Post graduate diploma in Business administration kutoka Open University (OU)
12. 2008 akafanikiwa kutunikiwa MBA kwenye Technology Management kutoka Open University (OU).

13. Pia ana professional certificates mbalimbali za Cisco na Microsoft.

Ameoa na ana watoto wawili.

Haya wenye fitina leteni uwongo mwingine.
 
WARN_200_X_300_men_at_work.jpg

Mjadala mtamu nitarudi baadaye wacha nikapige box!
 
3. UDSM kwa miaka miwili mpaka 1988
4. SUA kwa mwaka mmoja mpaka 1989 (hakumaliza shule yake)

Engineer,

Hapa kilitokea nini tena.....? Why UDSM miaka miwili, alikuwa anafanya kozi gani ya miaka miwili? au alidisco?

Tena kwa nini SUA hakumaliza shule yake?
 
Engineer,

Hapa kilitokea nini tena.....? Why UDSM miaka miwili, alikuwa anafanya kozi gani ya miaka miwili? au alidisco?

Tena kwa nini SUA hakumaliza shule yake?

Ilikuwa course moja ya Agricultural Engineering miaka miwili UDSM na miaka miwili SUA.

Hata kama ange disco yeye atakuwa sio wa kwanza wala sio wa mwisho ila mimi sijui. Hivi kwa CV kama hiyo huyo ni mtu wa ku disco kweli? Labda kama alizembea tu shule.

Mwakalinga haishi wala kufanya kazi kama mhandisi kilimo, anaishi kama mtaalamu wa Kompyuta course ambayo alifaulu vizuri sana mpaka kupewa full scholarship ya Ph.D bila kuomba.

Wadogo zake wanasema baada ya kuona umaskini wa ndugu zake akaamua a concentrate na kazi yake ili aweze kuisaidia familia yake. Amewasomesha wadogo zake wote mpaka vyuo vikuu.

Mimi nilivyotambulishwa Mwakalinga wiki mbili zilizopita, nilidhani wananidanganya. Nafahamiana na wadogo zake ambao ni vibonge mno, kuja kumwona yeye anaonekana kama mdogo wao.

Ndio maana hata wengine wanamwita kijana wakati ana miaka 44.
 
Bado watakuuliza hivi: SASA ANA WATOTO WAWILI KIVIPI?

Na mke wake ni Mzungu au Mchina? Maana huyu Mwakalinga lazima tufahamu isije kuwa watoto wake wamekaa kaa kiajabuajabu wakaleta athari huku Kyela. Lazima tujuwe hii CV yake kwa Watoto na Mkewe.

Mhhh, tumechukia sana. Yeye siku zote anatudanganya hapa. Alisema kuwa ni Mhandisi wa KILIMO. Hata mjomba wangu alisikia akisema hivyo. Na shangazi alisema kuwa alisikia akisema kuwa "ana mpango hata wa kuinunua HUAWEI" na hii itamfanya awe na uwezo wa kugawa LAPUTOPU Mbeya yote na kila member wa JF asiye na uwezo.

Sasa Mwakalinga KANUSHA basi tuone. Na lazima ulete vithibitisho kuwa "hutanunua HUAWEI" na hukusema hivyo, vinginevyo itakuwa kweli kwamba ulisema.

Huu ujumbe umeandikwa na :-
LazarusMtindi, Shalom, Malafyake, Nsensi, Mwaihojo, Mwafrika, Jile79, Mponjoli,Jekyll+Hyde, Omega PS Phi na Kalengamab. Mwandishi ni mie Mtani wao Ngosha wa Sikonge. (Hii ni tume ya kufahamu CV ya Mwakalinga).
 
Ilikuwa course moja ya Agricultural Engineering miaka miwili UDSM na miaka miwili SUA.

Hata kama ange disco yeye atakuwa sio wa kwanza wala sio wa mwisho ila mimi sijui. Hivi kwa CV kama hiyo huyo ni mtu wa ku disco kweli? Labda kama alizembea tu shule.

Mwakalinga haishi wala kufanya kazi kama mhandisi kilimo, anaishi kama mtaalamu wa Kompyuta course ambayo alifaulu vizuri sana mpaka kupewa full scholarship ya Ph.D bila kuomba.

Wadogo zake wanasema baada ya kuona umaskini wa ndugu zake akaamua a concentrate na kazi yake ili aweze kuisaidia familia yake. Amewasomesha wadogo zake wote mpaka vyuo vikuu.

Mimi nilivyotambulishwa Mwakalinga wiki mbili zilizopita, nilidhani wananidanganya. Nafahamiana na wadogo zake ambao ni vibonge mno, kuja kumwona yeye anaonekana kama mdogo wao.

Ndio maana hata wengine wanamwita kijana wakati ana miaka 44.

Mlalahoi alikukaba shati nini? Au yule mwanasheria?

Kweli, ukiwaona hadi unafikiri jamaa wanammalizia ugali wote, ha hahaa!!!!

Itabidi nimtwangie waya huyu kijana RA*****

NL: Jamaa kashalielezea hilo. Ndiyo utaratibu wa zamani kama wasoma kilimo. Unaanzia UDSM, ukifaulu waenda SUA na huko ndiko unakuja kupata cheti chako.
 
Back
Top Bottom