Kylian Mbape anatoka na dume lililobadili jinsia

Mbappe hajadate na Ines,

Ines ana mchumba wake wa miaka mingi

Fatilia kwanza habari
 
Attachments

  • original.jpg
    25.3 KB · Views: 2
Nakazia
 
Mbappe hajadate na Ines,

Ines ana mchumba wake wa miaka mingi

Fatilia kwanza habari
View attachment 2464044
Sijakuelewa. Hawajadate so hii scandal inahusiana na nini maana hapa tunajadili scandal ya mbappe kutoka kimahusiano na huyo transexual wewe unasema mbappe hajadate na Ines, so nini kimetokea can u make it make sense?!
 
Ni uzushi kama uzushi mwingine na watu tukauchukua huo uzushi kama ulivyo na kuanza kutokwa mapovu
 
Sijakuelewa. Hawajadate so hii scandal inahusiana na nini maana hapa tunajadili scandal ya mbappe kutoka kimahusiano na huyo transexual wewe unasema mbappe hajadate na Ines, so nini kimetokea can u make it make sense?!
Kaka humu mashoga wengi inavoonekana achana nao tu maana anasema hiki baadae anageuka anasema kile na hoja mufilisi.Kifupi Mbappe anakula mwanaume mwenzie so hana tafaut na shoga
 
Sasa Kwan mtu unavutiwa Kwa sababu ya jinsia au muonekano na tabia ambayo inaonyesha jinsia flani,huwez ukamlaani mbape wakati kunamtu anamwingilia mwanamke halisi kinyume na maumbile alafu anaona yeye Yuko sahihi,mbape pale ni unaeza kukuta alipiga naye picha Tu c unajua mambo ya kistaa
 
Daah nimeangalia YouTube jinsi hizi surgery zinavyofanyika aseee Huyu daktari ni mturuki ! Sijui ni pesa ngapi hawa washikaji wanalipa itakua gharama sana na ni risk pia maana hizo nyama zinavyochambuliwa na Madktari hawabahatishi wako serious na kazi na ukikutana na mwanaume aliyebadilisha jinsia huwezi kumjua labda akuambie !!! Na wabongo tulivyo na uchu !!
Kwa kweli hii dunia kiganjani
 
Mbna Hana tako au
ujinga wa kupenda matako Ni bongo tu
 
Kweli kaka , hata makende ni nyama nyama tu zinaunganishwa wanatengeneza shape tu !! Aseee tulikofikia hii sayari sio kawaida
 
Kuna watu kupingana kwa hoja hamuwezi..
Hapa ni jf Home of great thinkers.
Huu uswahili peleka Facebook ndio Kuna wenzio wenye mihemko ya matusi
wee km unajifanya muelewa sana?unataka nilete hoja kwenye mjadala waushoga?hapa nimwendo waspana tuu.hutaki lala mbele nyie ndio wasagaji ee?marafiki zenu nihawa mashoga?
 
wee kiazi mbatata kwani ukisikia neno shoga unahisi nini?Kama hujui nihivi..anaefanya na kufanywa wote nimashoga.sasa wewe unatetea hakizao ili iweje?shetan wee🀨
 
Lol Vijana wana hatari sana!! Wanawake wote hawa kweli??????!!!πŸ˜³πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…