Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Sasa mtu si anakuwa anajulikana. Mfano wewe utake kuoa mwanamke hivi inawezekana kweli usijue personal details zake kama alishawahi kuwa na nani, alishatoa ujauzito, alishafanya scandals ipi na ipi.
Sasa huyu aliyedate nae ni mwanamitindo na inajulikana kuwa alifanya gender transformation yaani kujibadili jinsia. Na inajulikana hata ukienda mitandaoni inajulikana so its a choice haikuwa bahati mbaya.
Na kilichofanya wazinguane ni kwasababu jamaa baada ya kufanya vizuri kombe la Dunia wadada wengi wakawa interested kumjua ndio personal details zake zikaanza kusambaa.
Mbappe hajadate na Ines,
Ines ana mchumba wake wa miaka mingi
Fatilia kwanza habari