Kylian Mbape anatoka na dume lililobadili jinsia

Kylian Mbape anatoka na dume lililobadili jinsia

Kutetea tu mashoga tayari unaenda kuchoka moto epuka dhambi ya ushoga
We acha wanaume ukiwakuta wanavyopinga ushoga utajiuliza hawa mashoga wanaoibuka mitaani wanaliwa na Nani.?
Halafu ukiwapa fact tu wanakwambia ww unasapoti...
Kati ya Mimi mwanamke ambaye natetea haki yao ya kuishi hadharani na wao wanajifanya kupinga hadharani na kuwala kimya kimya Nani anasapoti ushoga.
Nauliza tu ndugu zangu WANAUME nayelala na hawa mashoga Nani mbona nyote mnawalaani Sana?
Au sie WANAWAKE?
 
Alivyofanya mbape kuoa shoga ni sawa?
Kwa kubagua dhambi wabongo huwawezi....yaani mtu anamlaani mbappe huku yeye mwenyewe ni mzinifu..
Imagine mtu yupo mbagala maji matitu huko uswekeni anaoga maji ya chumvi eti anakuja hapa anamlaani mbappe....
 
laana sana mrembo.ameshindwa kuwaona mlivyo kuwa mnamshabikia😅😅
Shangaa Nawewe 🤣🤣🤣🤣!

Japo mi vijana barobaroooo not my fleva kabisa si unajua kuleee nishasema vitu vyangu 🤣🤣!!
 
Daah nimeangalia YouTube jinsi hizi surgery zinavyofanyika aseee Huyu daktari ni mturuki ! Sijui ni pesa ngapi hawa washikaji wanalipa itakua gharama sana na ni risk pia maana hizo nyama zinavyochambuliwa na Madktari hawabahatishi wako serious na kazi na ukikutana na mwanaume aliyebadilisha jinsia huwezi kumjua labda akuambie !!! Na wabongo tulivyo na uchu !!
Kwa kweli hii dunia kiganjani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndio nilipomchukia. Amepoteza mashabiki wengi ksbb ya kuiga huo ukenge.
Mtu ishi kiafrica halisi. Mambo mengine acha yapite. Kuna haja gani kwa mtu ana pesa kama yeye ya kudokoa dume,unaacha wasichana wengi tu wamejaa wazuri sana.
Wasichana sio chaguo lake, yeye anafuata hisia zake, hafuati hisia zako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna unajipa umuhimu pasipo na uhitaji wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndio nilipomchukia. Amepoteza mashabiki wengi ksbb ya kuiga huo ukenge.
Mtu ishi kiafrica halisi. Mambo mengine acha yapite. Kuna haja gani kwa mtu ana pesa kama yeye ya kudokoa dume,unaacha wasichana wengi tu wamejaa wazuri sana.
Mpenzi wake wa kike anaitwa emma alimkimbia baada ya kuona mbape anatabia za kichoko
 
Kwa kua unaupenda ushoga ndio maana unaona kila mtu ni shoga sasa tunakujibu kua Ines ni Mwanamke na Mbappe ni Mwanaume
Acha kupotosha wewe transgender ni shoga la kiume liloamua kujipamba kike ataishia kuotesha nyonyo na hips ila dushe liko pale pale.
Anafanya sex kwa mtandao pendwa na wengine huwa bado wananguvu ya kumfanya mfanyaji, usitetee ushoga wa Mbappe
 
Kaka humu mashoga wengi inavoonekana achana nao tu maana anasema hiki baadae anageuka anasema kile na hoja mufilisi.Kifupi Mbappe anakula mwanaume mwenzie so hana tafaut na shoga
Unaweza kukuta hata baba ako shoga,
Ushoga sio jambo la kushangaza yaani mimi uniite shoga, msagaji na mijineno yote unadhani nitaumia?? Zaidi nakushangaa mlivyo busy kufatilia habari za mashoga na ushoga badala ya kutafuta pesa,

Tafiti isiyo na shaka kabisa inasema ukiona mtu anafatilia sana kitu ujue anakipenda na ukiona anakipinga sanaa huku anakifatilia ujue anakifanya,

Tunaona hata humu wanaoleta mada za ushoga ni wale na wanaojitia kupinga ni wale wale na wanaofata watu pm ni wale wale, [emoji1787]

Tanzania yangu nakupenda sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewapiga penyewee, hasa wakikataliwa wanakua bitter sanaa lol.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom