Hakuna cha hisia hapo? Ni kuiga tu na kujaribu na kujiendekeza.
Nakuambia kujiendekeza ksbb kama mwanaume mwenzie,basi asimgeuze yule mwanaume akawa na mfanano wa mwanamke,hapo ujue ana hisia na wanawake ksbb tayari mwanaume kamgeuza kumvalisha nguo za kike,kumtengeneza muonekano kama wa kike,tayari hapo hisia unamtaka mwanamke.
Na wengi wanawafuata wanaume,wanataka yule mwanaume awe na muonekano wa kike,wengine anatengezwa matako na maziwa kama ya kike.
Vinginevyo kama wana hisia na wanaume wawadokoe wanaume kama walivyo na ukavu ukavu ule ule wa kiume,ili tujue kabisa ana hisia na wanaume. Wasiwabadiri kufuata jinsia ya kike