Kylian Mbape anatoka na dume lililobadili jinsia

Kylian Mbape anatoka na dume lililobadili jinsia

Unaelewa vipi kuhusu gender identity?

Google maana sitakua na muda wa kuandika
Huyo ni shoga aliechangamka, tundu la boshen nalo ni uke??

Tundu halina sifa za uke nao ni uke??
Tumia hata akili yako ya kuzaliwa mkuu, google yale ni maoni ya watu kama wewe, hata ukiamua kuweka unaweka tu na watu wataamini pia.

Jamaa ni shoga na Mbape nae ni shoga
 
Google itakuvuruga wewe hahahaha

Hivi kwa mfano nikiamua kubadili sura yangu ifanane na yako, will I be you? au nitakua mimi ninaefanana na wewe?
Kinachokufanya uwe wewe ni vile unavyojihisi ndani yako, sio suala la sura wala miguu,

Unajifanya huiamini google sababu unajua itakupa majibu usiyoyataka lakini unaitumia hiyo hiyo kukupa majibu unayoyataka
 
Huyo ni shoga aliechangamka, tundu la boshen nalo ni uke??

Tundu halina sifa za uke nao ni uke??
Tumia hata akili yako ya kuzaliwa mkuu, google yale ni maoni ya watu kama wewe, hata ukiamua kuweka unaweka tu na watu wataamini pia.

Jamaa ni shoga na Mbape nae ni shoga
Kwa kua unaupenda ushoga ndio maana unaona kila mtu ni shoga sasa tunakujibu kua Ines ni Mwanamke na Mbappe ni Mwanaume
 
Wewe unatumia smartphone unashindwa kutafuta taarifa mwenyewe unakubali kudanganywa,

Huyo Ines ni Transsexual yaan amebadili jinsi yake kutoka Me kwenda Ke kwa kufanya surgery,

Wanazitumia hizo hizo ndude zake kuzibadili na kupatikana Uke wenye kiantena chake (videos zipo tele jinsi wanavyobadilishwa ila ni very expensive na very risk)

Huyo Ines ni mwanamke kamili mwenye Uke na Maziwa na alifanya upasuaji huo akiwa ana miaka 16 lakini hakujitangaza hadi alipofika miaka 24 kwa maana hiyo watu alio date nao kipindi chote hicho hawakujua kama Ines ni mbadili jinsia.
The Dream Queen!
 
Ila huyu demu wake ana sura UA kike sana au imebadilika.baada ya surgey . sijuwi kwanini na pesa yote Na umaarufu anakula nyama ya kiwandani
 
Nimesikitishwa!
Usiamini kila kinachoandikwa
Wapo wengi wametukanwa kama Jeena Ortega na John Ducey
Kwa kuwa amekuwa maarufu sana duniani na ana wafuasi zaidi ya 90m

Ni uongo na huyo dume/jike wanasema kafanana na demu wake ambae hajaonekana nae tena baada ya rumors hizo

Hata yule wa kwanza alikuwa hajionyeshi kihivyo
Nimesoma mitandaoni kama hizi Habari ni kweli nikapata mawili matatu

Ni wivu na kutaka kuuza Habari tu maana siku hizi kutengeneza hela mitandaoni ni rahisi sana kwa wanoko, na waswahili wakidaka tu umekwisha hawachunguzi
Screenshot_20221230_172953_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom