Kylian Mbape anatoka na dume lililobadili jinsia

Kula transgender mbona sio ajabu mbele ata obama anakula transgender michelle na mambo yake ni 🔥🔥🔥halafu wewe sio mungu utashangaa mpabbe na dhambi zake ana shine uku wewe unateseka
 
Obama ameoa acha bangi
Kula transgender mbona sio ajabu mbele ata obama anakula transgender michelle na mambo yake ni [emoji91][emoji91][emoji91]halafu wewe sio mungu utashangaa mpabbe na dhambi zake ana shine uku wewe unateseka
 

Na anasikia raha kabisa??
 
Kwa kua unaupenda ushoga ndio maana unaona kila mtu ni shoga sasa tunakujibu kua Ines ni Mwanamke na Mbappe ni Mwanaume
Kuupenda au kutoupenda hakubadili ukweli kua mbape na huyo rafiki yako Ines ni mashoga.

Wote ni mashoga, hakuna awezae kubadili jinsia duniani.
Ukizaliwa dume ni dume mpaka kiama na ukizaliwa ke ni ke mpaka unaingia kaburini!!

Wanabadili muonekano tu na sio jinsia, kua me ni pamoja na kutungisha mimba(labda uzaliwe/ukwae matatizo ukubwani) ila huo ni uwezo mama wa me, vivyo hivyo kwa ke.

Sasa hao bosheni hawazaliani sasa jinsia gani hizo za mchongo.
Si walau hata kuku wa kisasa wanataga, hao ke na me wa mchongo hata manii hawatoi/siku zao hawana ni papuchi ya plastiki kama kopo la mo extra.
 
Watu wa upinde mmefka
Kwa hiyo mimi ndio nimeandika hiyo Habari
Halafu ntakuaje wa upinde wakati napinga kwa kumkandia
Sasa kujibu kuwa ni uongo linanifanyaje niwe upande huo?

Inawezekana wewe una tabia hiyo ila unajichanganya na wanaume

Hebu nipe sababu za wewe kuandika ujinga huo kwangu

Usiwe kijana wa kukurupuka bila kusoma maudhui yenyewe
 

Factos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…