Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Nimewaangalia hawa vijana na kuona wanafanana kwa vitu vingi, hawa ndio walinganishwe pamoja. Sio sahihi kumlinganisha Mbappe na mentor wake pale PSG (ambaye ndio mfalme wa football) au yule mzee asiyekuwa na timu.
Hawa madogo wote ni mafowadi wanaocheza pembeni na hata katikati inapobidi, wako kati ya miaka 20 na 23 na wote wana mpira wa kasi. Kila mmoja ameshabeba angalau kombe moja kwenye klabu yake.
Hawa madogo wote ni mafowadi wanaocheza pembeni na hata katikati inapobidi, wako kati ya miaka 20 na 23 na wote wana mpira wa kasi. Kila mmoja ameshabeba angalau kombe moja kwenye klabu yake.