Siyo huyo tuu , kuna wengi tuu wamewazidi Messi na Cr Kwa takwimu za umri huo , tunachoangalia ni consistency , tunamuombea aendelee hvyo hvyo mpak umri walio nao hao wazee ... Kwa umri huo huo Messi na Ronaldo tayar walikuwa na Balon d'Or, Mbape Hana, na waliondelea kuzikusanya Kwa Kasi , lakin pia Messi akiwa tayar ana mchezaji Bora under 20 , aliyoichukua na umri wa 16 yrs ,....
Unaweza kuwa umefunga magori mengi lakini yakawa hayana impact sababu ya ligi na club uliyopo , kiufupi Tu ni kuwa Mbape yupo sehemu nzuri tatizo ni hyo club aliyopo, Kwa sasa ili utoboe unatakiwa uwe na club ambayo ina uwezo wa kuchukua champion league back to back , hapo tuzo utaziokota Sana , Mbape club aliyopo ni miyeyusho kinachombeba ni timu ya Taifa wapo vizur Sana