Kylian Mbappe afananishwe na akina Vinicious Jr, Bukayo Saka, Phil Foden na Gabriel Martinelli

Kylian Mbappe afananishwe na akina Vinicious Jr, Bukayo Saka, Phil Foden na Gabriel Martinelli

Mbappe ni mchezaji mzuri level zake ni vinicious jr na neymar hafai kufananishwa na messi au Cr7

mbappe kapata air time kubwa africa kutokana na nchi nyingi za africa zilitaka france ishinde kutokana na uhusiano wa rangi (black ) sawa na sisi
Kafahamika kwa sababu alicheza vizuri kafunga goli 8
 
Ubaguzi gani uliomzuia nani? Kama Pele aliweza kufanya yale enzi zile mtu mweusi akiwa haruhusiwi kukaa chumba kimoja na mzungu, ni kipi kitamzuia Vini miaka ya sasa
Hujui mabrack wanayoyapitia. Ni vile tu wamefundishwa namna ya kuuvumilia ubaguzi na kufanya juhudi sana kuonyesha uwezo wake uwanjani
 
Hujui mabrack wanayoyapitia. Ni vile tu wamefundishwa namna ya kuuvumilia ubaguzi na kufanya juhudi sana kuonyesha uwezo wake uwanjani
Pia ndugu inabidi utambue uyo uyo mbappe ,baba yake alimpeleka cameroon ili awachezee timu ya taifa lakini kiongozi alitaka rushwa( salio ) ndomana akaamua aende france

Ukiwa na kipaji kikubwa unacheza nchi yoyote duniani bila kujali rangi yako
 
NINAANDIKA KWA HERUFI KUBWA.

WEKENI TAKWIMU ZA HAO AKINA MESSI NA CR7 WALIPOKUWA NA MIAKA 23 KISHA LINGANISHA MA MBAPPE HAPO UTAPATA NANI BORA.
"

Lionel Messi at 23yrs​

Matches – 269

Goals – 181

Assists – 82

International Caps – 57

International Goals – 17

Kylian Mbappe​

Matches – 303

Goals – 222

Assists – 129

International Caps – 66

International Goals – 36"

Cr7 at 23yrs alikuwa na goals chini ya 90

MBAPPE AMEWAFUNIKA WOTE KWA TAKWIMU NDIO MAANA MNAMCHUKIA KWA KUONA HANA LOLOTE WAKATI MIOYONI MNAMHUSUDU
 
Kitu ambacho umekiacha kwa makusudi ni kuwa messi alipata ballon d'Or akiwa na age ya 22
 
NINAANDIKA KWA HERUFI KUBWA.

WEKENI TAKWIMU ZA HAO AKINA MESSI NA CR7 WALIPOKUWA NA MIAKA 23 KISHA LINGANISHA MA MBAPPE HAPO UTAPATA NANI BORA.
"

Lionel Messi at 23yrs​

Matches – 269

Goals – 181

Assists – 82

International Caps – 57

International Goals – 17

Kylian Mbappe​

Matches – 303

Goals – 222

Assists – 129

International Caps – 66

International Goals – 36"

Cr7 at 23yrs alikuwa na goals chini ya 90

MBAPPE AMEWAFUNIKA WOTE KWA TAKWIMU NDIO MAANA MNAMCHUKIA KWA KUONA HANA LOLOTE WAKATI MIOYONI MNAMHUSUDU
Upo sawa..

lakin wakat wa kumfananisha Mbape na Cr7/Messi haujafika.

Ana safari ya kupprove hilo, labda akifika mkuu
 
NINAANDIKA KWA HERUFI KUBWA.

WEKENI TAKWIMU ZA HAO AKINA MESSI NA CR7 WALIPOKUWA NA MIAKA 23 KISHA LINGANISHA MA MBAPPE HAPO UTAPATA NANI BORA.
"

Lionel Messi at 23yrs​

Matches – 269

Goals – 181

Assists – 82

International Caps – 57

International Goals – 17

Kylian Mbappe​

Matches – 303

Goals – 222

Assists – 129

International Caps – 66

International Goals – 36"

Cr7 at 23yrs alikuwa na goals chini ya 90

MBAPPE AMEWAFUNIKA WOTE KWA TAKWIMU NDIO MAANA MNAMCHUKIA KWA KUONA HANA LOLOTE WAKATI MIOYONI MNAMHUSUDU
Siyo huyo tuu , kuna wengi tuu wamewazidi Messi na Cr Kwa takwimu za umri huo , tunachoangalia ni consistency , tunamuombea aendelee hvyo hvyo mpak umri walio nao hao wazee ... Kwa umri huo huo Messi na Ronaldo tayar walikuwa na Balon d'Or, Mbape Hana, na waliondelea kuzikusanya Kwa Kasi , lakin pia Messi akiwa tayar ana mchezaji Bora under 20 , aliyoichukua na umri wa 16 yrs ,....

Unaweza kuwa umefunga magori mengi lakini yakawa hayana impact sababu ya ligi na club uliyopo , kiufupi Tu ni kuwa Mbape yupo sehemu nzuri tatizo ni hyo club aliyopo, Kwa sasa ili utoboe unatakiwa uwe na club ambayo ina uwezo wa kuchukua champion league back to back , hapo tuzo utaziokota Sana , Mbape club aliyopo ni miyeyusho kinachombeba ni timu ya Taifa wapo vizur Sana
 
Pia ndugu inabidi utambue uyo uyo mbappe ,baba yake alimpeleka cameroon ili awachezee timu ya taifa lakini kiongozi alitaka rushwa( salio ) ndomana akaamua aende france

Ukiwa na kipaji kikubwa unacheza nchi yoyote duniani bila kujali rangi yako
Kumbe hamjaelewa. Sijamaanisha hawezi kucheza. Kipaji chako chako cha mpira ndio maana nimezingumzia kujituma kwako kunakufikisha mbali na muhimu pia nimesema wanafundishwa kuipuuza mengine,wazingatie soka tu lililowaleta.
Lakini kuna mambo mengi ya kukatisha tamaa kwa weusi. Mfano Samwel Etto kuna kipindi kabisa ilikuwa awe mchezaji bora wa dunia. Lakini zikafanyika vya kufanyika akapigwa chini. Sababu kubwa,inaeleweka.
Sasa vitu kama hivyo kile unachostahiri kabisa kwenye soka lako hupewi. Kama hujafundishwa kupuuza kama hayo kwa mwenye roho nyepesi,ile kufikiria tu wengine wanaenda mbali ktk kufikiria inaweza kukushushia ufanisi wako. Huo ni mfano tu,lakini vipo vitu vidogo vidogo weusi wanavyokumbana navyo. Kama mchezaji ana roho nyepesi anaweza kupigana iwe ndani ya uwanja au nje ya uwanja.
 
Mbappe ni mchezaji mzuri level zake ni vinicious jr na neymar hafai kufananishwa na messi au Cr7

mbappe kapata air time kubwa africa kutokana na nchi nyingi za africa zilitaka france ishinde kutokana na uhusiano wa rangi (black ) sawa na sisi

Sikweli dogo ameshashinda world na tuzo binafsi hapo awali.

Hii ishu ya ubaguzi haina mashiko sana.
 
Mbape ni Mchezaji mzuri mno.
Ni mchezaji wa Tatu kwa Ubora.
Kwa mujibu wa Utafiti wangu.
Upo Hivi

1. Messi.

2.Ronaldo.

3. Mbape.
Duh!! Kwa sasa ukiambiwa kwenye timu yako uchague kupewa Mbappe au ronaldo unachukua Ronaldo??
 
NINAANDIKA KWA HERUFI KUBWA.

WEKENI TAKWIMU ZA HAO AKINA MESSI NA CR7 WALIPOKUWA NA MIAKA 23 KISHA LINGANISHA MA MBAPPE HAPO UTAPATA NANI BORA.
"

Lionel Messi at 23yrs​

Matches – 269

Goals – 181

Assists – 82

International Caps – 57

International Goals – 17

Kylian Mbappe​

Matches – 303

Goals – 222

Assists – 129

International Caps – 66

International Goals – 36"

Cr7 at 23yrs alikuwa na goals chini ya 90

MBAPPE AMEWAFUNIKA WOTE KWA TAKWIMU NDIO MAANA MNAMCHUKIA KWA KUONA HANA LOLOTE WAKATI MIOYONI MNAMHUSUDU
achana na hizi takwimu, hivi uliwahi kumshuhudia messi uwanjani at 20yrs...........??,

overall play ya Messi ilikua balaa, kijana alikua anacheza kama amesetiwa, utadhani play station
 
Back
Top Bottom