Kylian Mbappe afananishwe na akina Vinicious Jr, Bukayo Saka, Phil Foden na Gabriel Martinelli

Kylian Mbappe afananishwe na akina Vinicious Jr, Bukayo Saka, Phil Foden na Gabriel Martinelli

Ukiona Hadi wazee kina Ronie 7, Messi kina Modric wanatamba mbele ya vijana kwenye mashindano tofauti ... Jua daraja la vijana wa Sasa Ni la chini mno
Na quality Yao ni yakutilia mashaka..... Mbappe ajichanganye mwenyewe tu ila njia nyeupee kwake.
Ni kweli, Mbappe ana nafasi ya kusonga mbele zaid.
 
No offense lakini UEFA>>WC

Huwezi kulinganisjha uwezo wa timu za taifa na clubs
Vini anacheza Madrid ambayo miaka 10 imeshinda UEFA zaidi ya mara 4 mbappe amewapa makombe France ambayo mara ya mwsho hukumbuki walitwaa lini
Vini ni mtu sana ila kwa mpaka sasa Mbappe ukiondoa class ya kina Messi Ronaldo na Generation yao Mbappe ndo Goat wa kina rashford vini foden na wengineo
 
Mpaka Haaland??
Subiri mjukuu wangu.
Time will tell
Haland is >>> 2 mbappes
 
Saana tena saana, jamaa mzuri mno hasa ktk man to man.
Pamoja na kwamba Madrid ndio timu yangu ninayoikubali,lakini huyu Vin Ndio mchezaji ninaemkubali zaidi mimi kwa sasa duniani. Utafurahi kushuhudia shughuri,vyenga,speed,magoli yake uwanjani. Vin ni kifaa na anajiamini hatari. Ana mpira halisi wa kibrazir.

Benzema anaonekana amerudi kasi mchezoni ksbb ya huyu kinda. Cross zote za Vin ni kama anazipima kichwani kwa Benzema. Kimoyo moyo Benzema anamshukuru sana huyu mwamba mpya wa soka Vinicious Jr.
 
Mpaka Haaland??
Subiri mjukuu wangu.
Time will tell
Haland is >>> 2 mbappes
Nadhani umeongelea magoli hapa na kama ni magoli no doubt
Ukiongelea technical abilities na aspect nyingine za mpira Haaland can't go toe to Toe hata na Alvarez
Haaland ni kama Lewandowski (man is proper CF) ila sio complete player kama alvarez achana na mbappe tu
 
NINAANDIKA KWA HERUFI KUBWA.

WEKENI TAKWIMU ZA HAO AKINA MESSI NA CR7 WALIPOKUWA NA MIAKA 23 KISHA LINGANISHA MA MBAPPE HAPO UTAPATA NANI BORA.
"

Lionel Messi at 23yrs​

Matches – 269

Goals – 181

Assists – 82

International Caps – 57

International Goals – 17

Kylian Mbappe​

Matches – 303

Goals – 222

Assists – 129

International Caps – 66

International Goals – 36"

Cr7 at 23yrs alikuwa na goals chini ya 90

MBAPPE AMEWAFUNIKA WOTE KWA TAKWIMU NDIO MAANA MNAMCHUKIA KWA KUONA HANA LOLOTE WAKATI MIOYONI MNAMHUSUDU

Speed ya Mbappe inawatisha sana mazombi wa Messi, kwa kweli anawakosesha usingizi.
 
Kumbe hamjaelewa. Sijamaanisha hawezi kucheza. Kipaji chako chako cha mpira ndio maana nimezingumzia kujituma kwako kunakufikisha mbali na muhimu pia nimesema wanafundishwa kuipuuza mengine,wazingatie soka tu lililowaleta.
Lakini kuna mambo mengi ya kukatisha tamaa kwa weusi. Mfano Samwel Etto kuna kipindi kabisa ilikuwa awe mchezaji bora wa dunia. Lakini zikafanyika vya kufanyika akapigwa chini. Sababu kubwa,inaeleweka.
Sasa vitu kama hivyo kile unachostahiri kabisa kwenye soka lako hupewi. Kama hujafundishwa kupuuza kama hayo kwa mwenye roho nyepesi,ile kufikiria tu wengine wanaenda mbali ktk kufikiria inaweza kukushushia ufanisi wako. Huo ni mfano tu,lakini vipo vitu vidogo vidogo weusi wanavyokumbana navyo. Kama mchezaji ana roho nyepesi anaweza kupigana iwe ndani ya uwanja au nje ya uwanja.

Etoo awe mchezaji bora wa Dunia? Kwa misingi ipi? Ficha Ujinga wako ndugu.
 
Nadhani umeongelea magoli hapa na kama ni magoli no doubt
Ukiongelea technical abilities na aspect nyingine za mpira Haaland can't go toe to Toe hata na Alvarez
Haaland ni kama Lewandowski (man is proper CF) ila sio complete player kama alvarez achana na mbappe tu

tafadhali waheshimu Lewandowski na Halland
 
Nadhani umeongelea magoli hapa na kama ni magoli no doubt
Ukiongelea technical abilities na aspect nyingine za mpira Haaland can't go toe to Toe hata na Alvarez
Haaland ni kama Lewandowski (man is proper CF) ila sio complete player kama alvarez achana na mbappe tu
Mbona CR7 wanamlinganisha na Messi kama Magoli sio big issue.

The whole point ya kucheza football ni kufunga, So afungae ndiye bora.
 
Speed ya Mbappe inawatisha sana mazombi wa Messi, kwa kweli anawakosesha usingizi.
Kwanini? Watu hawataki kuona changamoto mpya? Mbappe ni wa kukuzwa na kuwa promoted, Utani utani wanaweza anza kufanya ibada na kuabudu messi.
 
Mbona CR7 wanamlinganisha na Messi kama Magoli sio big issue.

The whole point ya kucheza football ni kufunga, So afungae ndiye

Mbona CR7 wanamlinganisha na Messi kama Magoli sio big issue.

The whole point ya kucheza football ni kufunga, So afungae ndiye bora.
Kama unafikiri attribute ya kufunga tu ndo inamfanya CR7 alinganishwe na Messi kwanini Lewandowski hajalinganishwa na messi?
 
Kama unafikiri attribute ya kufunga tu ndo inamfanya CR7 alinganishwe na Messi kwanini Lewandowski hajalinganishwa na messi?
Aah c'mon bro, Lewandoski ana magoli mangapi, Na ronaldo ana magoli mangapi?
 
Back
Top Bottom