Na haaland ndo wale wale tuNimewaangalia hawa vijana na kuona wanafanana kwa vitu vingi, hawa ndio walinganishwe pamoja. Sio sahihi kumlinganisha Mbappe na mentor wake pale PSG (ambaye ndio mfalme wa football) au yule mzee asiyekuwa na timu.
Hawa madogo wote ni mafowadi wanaocheza pembeni na hata katikati inapobidi, wako kati ya miaka 20 na 23 na wote wana mpira wa kasi. Kila mmoja ameshabeba angalau kombe moja kwenye klabu yake.
N swala la muda tuMtoto hajui harufu ya UEFA
Mpaka ahame timuN swala la muda tu
Mbappe amewazidi wote hao ni sawa na kumweka kundi moja young killer na kina rapture na lunya
Hapo kwa killer boi nimekuelewa
Daah...! Vinicious Jr kile kifaa kingine kile yule dogo atafika mbali sana. Ni vile kwenye soka kuna ubaguzi. Lakini yule dogo ni hatariNimewaangalia hawa vijana na kuona wanafanana kwa vitu vingi, hawa ndio walinganishwe pamoja. Sio sahihi kumlinganisha Mbappe na mentor wake pale PSG (ambaye ndio mfalme wa football) au yule mzee asiyekuwa na timu.
Hawa madogo wote ni mafowadi wanaocheza pembeni na hata katikati inapobidi, wako kati ya miaka 20 na 23 na wote wana mpira wa kasi. Kila mmoja ameshabeba angalau kombe moja kwenye klabu yake.
Ndio ila asijifananishe na ma legendN swala la muda tu
Kumfananisha Mbape na kina Messi na CR7 ni sawa na kuwafananisha Drake na Harmorapa.Mbape anaweza kuwa Bora kuliko hao wengine wote ila hastaili kufananishwa na Messi or Cr7
Ubaguzi gani uliomzuia nani? Kama Eusebio na Pele waliweza kufanya yale enzi zile mtu mweusi akiwa haruhusiwi kukaa chumba kimoja na mzungu, ni kipi kitamzuia Vini miaka ya sasaDaah...! Vinicious Jr kile kifaa kingine kile yule dogo atafika mbali sana. Ni vile kwenye soka kuna ubaguzi. Lakini yule dogo ni hatari