Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kafahamika kwa sababu alicheza vizuri kafunga goli 8Mbappe ni mchezaji mzuri level zake ni vinicious jr na neymar hafai kufananishwa na messi au Cr7
mbappe kapata air time kubwa africa kutokana na nchi nyingi za africa zilitaka france ishinde kutokana na uhusiano wa rangi (black ) sawa na sisi
Hujui mabrack wanayoyapitia. Ni vile tu wamefundishwa namna ya kuuvumilia ubaguzi na kufanya juhudi sana kuonyesha uwezo wake uwanjaniUbaguzi gani uliomzuia nani? Kama Pele aliweza kufanya yale enzi zile mtu mweusi akiwa haruhusiwi kukaa chumba kimoja na mzungu, ni kipi kitamzuia Vini miaka ya sasa
Ukiwa na kipaji hakuna wa kukuzuia kucheza mpiraHujui mabrack wanayoyapitia. Ni vile tu wamefundishwa namna ya kuuvumilia ubaguzi na kufanya juhudi sana kuonyesha uwezo wake uwanjani
Umekariri...Ingekua ni kweli basi wale black wasingekua National team ya France,kinachoangaliwa ni kipaji kwanza.Hujui mabrack wanayoyapitia. Ni vile tu wamefundishwa namna ya kuuvumilia ubaguzi na kufanya juhudi sana kuonyesha uwezo wake uwanjani
Pia ndugu inabidi utambue uyo uyo mbappe ,baba yake alimpeleka cameroon ili awachezee timu ya taifa lakini kiongozi alitaka rushwa( salio ) ndomana akaamua aende franceHujui mabrack wanayoyapitia. Ni vile tu wamefundishwa namna ya kuuvumilia ubaguzi na kufanya juhudi sana kuonyesha uwezo wake uwanjani
Kitu ambacho umekiacha kwa makusudi ni kuwa messi alipata ballon d'Or akiwa na age ya 22NINAANDIKA KWA HERUFI KUBWA.
WEKENI TAKWIMU ZA HAO AKINA MESSI NA CR7 WALIPOKUWA NA MIAKA 23 KISHA LINGANISHA MA MBAPPE HAPO UTAPATA NANI BORA.
"
Lionel Messi at 23yrs
Matches – 269
Goals – 181
Assists – 82
International Caps – 57
International Goals – 17
Kylian Mbappe
Matches – 303
Goals – 222
Assists – 129
International Caps – 66
International Goals – 36"
Cr7 at 23yrs alikuwa na goals chini ya 90
MBAPPE AMEWAFUNIKA WOTE KWA TAKWIMU NDIO MAANA MNAMCHUKIA KWA KUONA HANA LOLOTE WAKATI MIOYONI MNAMHUSUDU
Kajuaji haka katoto nyuzi za kijinga jinga kujaza saver tuwee utakua chizi siku zausoni.....
nakaziaMbape anaweza kuwa Bora kuliko hao wengine wote ila hastaili kufananishwa na Messi or Cr7
Upo sawa..NINAANDIKA KWA HERUFI KUBWA.
WEKENI TAKWIMU ZA HAO AKINA MESSI NA CR7 WALIPOKUWA NA MIAKA 23 KISHA LINGANISHA MA MBAPPE HAPO UTAPATA NANI BORA.
"
Lionel Messi at 23yrs
Matches – 269
Goals – 181
Assists – 82
International Caps – 57
International Goals – 17
Kylian Mbappe
Matches – 303
Goals – 222
Assists – 129
International Caps – 66
International Goals – 36"
Cr7 at 23yrs alikuwa na goals chini ya 90
MBAPPE AMEWAFUNIKA WOTE KWA TAKWIMU NDIO MAANA MNAMCHUKIA KWA KUONA HANA LOLOTE WAKATI MIOYONI MNAMHUSUDU
Siyo huyo tuu , kuna wengi tuu wamewazidi Messi na Cr Kwa takwimu za umri huo , tunachoangalia ni consistency , tunamuombea aendelee hvyo hvyo mpak umri walio nao hao wazee ... Kwa umri huo huo Messi na Ronaldo tayar walikuwa na Balon d'Or, Mbape Hana, na waliondelea kuzikusanya Kwa Kasi , lakin pia Messi akiwa tayar ana mchezaji Bora under 20 , aliyoichukua na umri wa 16 yrs ,....NINAANDIKA KWA HERUFI KUBWA.
WEKENI TAKWIMU ZA HAO AKINA MESSI NA CR7 WALIPOKUWA NA MIAKA 23 KISHA LINGANISHA MA MBAPPE HAPO UTAPATA NANI BORA.
"
Lionel Messi at 23yrs
Matches – 269
Goals – 181
Assists – 82
International Caps – 57
International Goals – 17
Kylian Mbappe
Matches – 303
Goals – 222
Assists – 129
International Caps – 66
International Goals – 36"
Cr7 at 23yrs alikuwa na goals chini ya 90
MBAPPE AMEWAFUNIKA WOTE KWA TAKWIMU NDIO MAANA MNAMCHUKIA KWA KUONA HANA LOLOTE WAKATI MIOYONI MNAMHUSUDU
Kumbe hamjaelewa. Sijamaanisha hawezi kucheza. Kipaji chako chako cha mpira ndio maana nimezingumzia kujituma kwako kunakufikisha mbali na muhimu pia nimesema wanafundishwa kuipuuza mengine,wazingatie soka tu lililowaleta.Pia ndugu inabidi utambue uyo uyo mbappe ,baba yake alimpeleka cameroon ili awachezee timu ya taifa lakini kiongozi alitaka rushwa( salio ) ndomana akaamua aende france
Ukiwa na kipaji kikubwa unacheza nchi yoyote duniani bila kujali rangi yako
Mbappe ni mchezaji mzuri level zake ni vinicious jr na neymar hafai kufananishwa na messi au Cr7
mbappe kapata air time kubwa africa kutokana na nchi nyingi za africa zilitaka france ishinde kutokana na uhusiano wa rangi (black ) sawa na sisi
Vinicius ana UEFA...konbe kubwa Ulaya nzimaMbappe amewazidi wote hao ni sawa na kumweka kundi moja young killer na kina rapture na lunya
Duh!! Kwa sasa ukiambiwa kwenye timu yako uchague kupewa Mbappe au ronaldo unachukua Ronaldo??Mbape ni Mchezaji mzuri mno.
Ni mchezaji wa Tatu kwa Ubora.
Kwa mujibu wa Utafiti wangu.
Upo Hivi
1. Messi.
2.Ronaldo.
3. Mbape.
Mbappe ana Fifa world cup (kombe kubwa duniani)ana top scorer ya world cupVinicius ana UEFA...konbe kubwa Ulaya nzima
Madhara ya kuanza kufatilia mpira Ukubwani.Tangu lini England ikawa na wachezaji bora
achana na hizi takwimu, hivi uliwahi kumshuhudia messi uwanjani at 20yrs...........??,NINAANDIKA KWA HERUFI KUBWA.