Kylian Mbappe afananishwe na akina Vinicious Jr, Bukayo Saka, Phil Foden na Gabriel Martinelli

Mbappe has a potential to win it all like Messi. So still hajafikia level hiyo lakini anaweza kufikia huko.
Ana miaka 24 tu

Messi katika huon umri alishwawin karibia vitu vingii katika klabu na personally.

Ana bahati mbaya sana kucheza mpira kipindi Messi bado anaucheza katika Leo Ile ile.

Hata CR7 ana bahati mbaya sana kuwa nyakati hizi za Messi.

Messi kawawekea kauzibe wengi sana

Wangoje astaafu au ahamie Soka lisilo la ushindani ndio wawike.
 
Upo sawa..

lakin wakat wa kumfananisha Mbape na Cr7/Messi haujafika.

Ana safari ya kupprove hilo, labda akifika mkuu
Form is temporary CLASS is permanent.

Mbappe ni mchezaji bora Hilo halina ubishi lakini je ataweza kumaintain classic performance for the long run kama Messi na CR7.

Muda utatoa majibu.

Kulikuwa Kuna akina Ricardo kaka, ronadinyo gaucho, Didier Drogba hao wote walikuwa goal machines.
 
achana na hizi takwimu, hivi uliwahi kumshuhudia messi uwanjani at 20yrs...........??,

overall play ya Messi ilikua balaa, kijana alikua anacheza kama amesetiwa, utadhani play station
Messi kaanza ingia kikosi Cha Cha Barca ana miaka 19 usilete unazi hapa.

Tunakumbuka sana alivyokuwa anasomba Kijiji mtu Tano hadi sita na kipa juu na anafunga goli safi murua.

Tatizo lenu manataka kufafanisha vitu visivyofaninishika kwa Sasa labda hadi baadae huko.
 
Mbappe ni mchezaji mzuri level zake ni vinicious jr na neymar hafai kufananishwa na messi au Cr7

mbappe kapata air time kubwa africa kutokana na nchi nyingi za africa zilitaka france ishinde kutokana na uhusiano wa rangi (black ) sawa na sisi
Hajaanza kupata airtime this wc mkuu since 2018 watu tulishamkubali
 
Uzi ufungwe
 
Mbona CR7 wanamlinganisha na Messi kama Magoli sio big issue.

The whole point ya kucheza football ni kufunga, So afungae ndiye bora.
Choose between Neymar and Lewandowski yupi best hapo alafu ndo tujue kama hii comment ulimaansha au unabishana?
 
Choose between Neymar and Lewandowski yupi best hapo alafu ndo tujue kama hii comment ulimaansha au unabishana?
Lewangoalski almost got a ballon dor last year Vipi Neymar?
Lewa is my fav.
 
Kwanini? Watu hawataki kuona changamoto mpya? Mbappe ni wa kukuzwa na kuwa promoted, Utani utani wanaweza anza kufanya ibada na kuabudu messi.
mbona wameshaanza mkuu, ukisikia kuna Zombies wa Messi unahisi ni masihara?
 
Mkuu kuna mahali umeandika Ricardo Kaka alikuwa goal machine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…