Kylian Mbappe afananishwe na akina Vinicious Jr, Bukayo Saka, Phil Foden na Gabriel Martinelli

Mtoa mada usirudi Tena siku nyingine kumfananisha Mbappe na vitu vya ajabu Kama Bukayo Saka na Vinny, Mbappe anawazidi viwango kwa mbali Sana.
 
Wakati Messi anaenda kuzeekea PSG(farmers league ) na kuchukua kiinua mgongo, Mbape yeye ameamua kukaa hapo ili ang'are. What a waste of talent.

Mbape yuko vizuri ila nina wasiwasi na consistency yake miaka 5 ijayo. Genetically sidhani kama atamudu. Ukimwangalia vizuri Messi na Mbape kwa sura tu utaona kama wamepishana miaka 2 kumbe ni 11. Hii itamtoa kwenye system muda sio mrefu
 
Huyo dogo sijui kawapa nini mbona anaongelewa sana? Kila siku hapa lazima aanzishiwe uzi.
Wanaogopa rekodi za mchezaji wao midevu zitavunjwa kwanza 2026 anaenda kuwa top score wa mda wote wa kombe la Dunia wakati midevu wao hajawah kabisa kufikia rekodi hiyo pili dogo kashakuwa mfungaji Bora wa kombe la Dunia wakati midevu kweupe ishu ya champions league,Tuzo za France magazine dogo Ata zibeba sana ngoja atue bernabeu
 
Nimemuangalia Mbappe na uchezaji wake sioni ukitofautiana sana na WA Christopher Nkunku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…