Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Kumbuka huyu jamaa mara mbili mfululizo anakosa,game ya liver pia alikosaWangapi duniani wanakosa penati tena wakiwa kwenye form zao za kimpira??
Naongelea performance yake generally.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka huyu jamaa mara mbili mfululizo anakosa,game ya liver pia alikosaWangapi duniani wanakosa penati tena wakiwa kwenye form zao za kimpira??
Naongelea performance yake generally.
Alikosa heshima sana huyu dogo kwa mchezaji bora kuwahi kutokea dunianiHuyo kenge acha apitie hayo anayoyapitia hapo 'Hala!' mpaka aharishe kweli.
Alileta dharau sana kwa Leo Messi pale PSG ilhali ana hadhi ya chini sana kwa Leo.
So what?Kumbuka huyu jamaa mara mbili mfululizo anakosa,game ya liver pia alikosa
Ngoja tusubir,ila mimi nimeshamtoa,naona mpira wake umeishia hapoSo what?
Anakosa Messi kwenye ubora wake sembuse mbappe?...
Kwan kufunga Sana penati ndo kuna-determine Sana ubora wako kuliko magoli ya open play?
Kwanini Tanzania tunamlaumu Sana dube kuliko penati ya azizi ki japo ni Moja sio mbili ila ushajiuliza kwann ?
Atarudi tu kwenye ubora wake .... pressure ni kubwa mno...psychologia pia hayupo poa ....
Utaalam wa kufunga hana tena,anapiga tuKwann mkuu
Umeongea point mkuuMaybe anakosa kujiamini, Kuna nafasi nyingi tu anapata Kwa mchezaji wa daraja lake si mahali pa kukosa kabisa, lazima aongeze umakini kwasababu La Liga ni tofauti na ligi ya France Kwa maana ya quality, zipo ambazo mbape amekosa lakini Kwa ufaransa inawezekana ikawa ni magoli kwasababu ya ubora wa wachezaji unatofautiana.
Jamaa alikuwa na dharau sana kwa GOAT..wkt Leo akiwa na miaka 22 ana B o 4.....nachokijua mpira unahitaji descpline ya hali ya juu sanaaHuyo kenge acha apitie hayo anayoyapitia hapo 'Hala!' mpaka aharishe kweli.
Alileta dharau sana kwa Leo Messi pale PSG ilhali ana hadhi ya chini sana kwa Leo.
Hana aadabuu huyu mbwaaaa na anajutiaaa psg wanachekaa tu yanayoendelea hahahaha pambafuuKylian Mbappé, mmoja wa wachezaji bora zaidi wa soka duniani, amekuwa katika hali ngumu tangu kujiunga na Real Madrid akitokea PSG. Licha ya uzoefu wake mkubwa na uwezo wake wa kuamua mechi, amekuwa akipitia kipindi kigumu cha kutengeneza matokeo katika timu yake mpya.
Kuhama kutoka klabu kubwa kama PSG kwenda Real Madrid ni mabadiliko makubwa. Mbappé anakabiliwa na changamoto ya kuzoea mfumo mpya wa uchezaji, wachezaji wapya, mahitaji tofauti ya klabu pamoja na falsafa ya mpira pale Santiago Bernabeu.
Jambo jingine ni kutokana na umaarufu wake na bei kubwa ya uhamisho wake, kuna matarajio makubwa kutoka kwa mashabiki, waandishi wa habari, na klabu yenyewe. Shinikizo hili linaweza kuathiri utendaji wake kwa kumfanya ajitazame kama ana deni kubwa juu yake.
Ni wazi kuwa Mbappé bado anaonekana kutokuwa na uelewano kamili na wachezaji wenzake, hasa katika masuala ya pasi za mwisho na katika muunganiko wa mashambulizi yao, mara kadhaa Mbappé amekuwa akijikuta kwenye kuotea pasipo kufahamu.
Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti, amekuwa akimtumia Mbappé katika nafasi tofauti, ikijumuisha nafasi ya namba 9 na winga. Mabadiliko haya ya mara kwa mara yanaweza kuathiri uwezo wake wa kucheza kwa ufanisi.
Kwa sasa Mbappé anapaswa kuongeza muda wa mazoezi na wachezaji wenzake ili kuimarisha uelewano wao kimbinu. Hii itampa fursa ya kuelewa mitindo ya uchezaji ya kila mchezaji na kuunda ushirikiano wa ufanisi.
Pia Mbappé anapaswa kujiamini na kuzingatia mchezo mmoja baada ya mwingine. Na aelewe kuwa moyo wake kwa sasa upo Madrid na sio Paris tena.
Mbappé anapaswa kuacha tabia ya uchezaji wa mtu binafsi na kuzingatia kuwa sehemu ya timu. Kushiriki katika kutengeneza pasi za mashambulizi, na kuunga mkono wachezaji wenzake kunaweza kusaidia timu nzima kwa kiasi kikubwa.
Mbappé anapaswa kushirikiana na kocha wake, Carlo Ancelotti, ili kuelewa mahitaji ya timu na falsafa pamoja na kujiboresha katika maeneo ambayo yana uhitaji huo.
Mbappé amekuwa na mwanzo mgumu katika Real Madrid, bado ana uwezo wa kuwa mchezaji muhimu kwa timu. Ni muhimu kukumbuka kuwa mabadiliko makubwa yanaweza kuchukua muda.
Mbappé anapaswa kuwa na subira na kuendelea kufanya kazi kwa bidii. Game ya jana tumepoteza ila tuna game nyingine mkononi, tukaze kamba za viatu wanaume.
Mfumo tu wa huyu Babu unamkataa .....mfumo wa kizamani ....
Mifumo ya Makocha vijana ....unamfaa Sana mbape na atarudi tu kwenye fomu naamini.
-Mbape mbinafsi
-Vinicious jr mbinafsi
-Rodrigo mbinafsi
-Endrick mbinafsi
-Bellingham mbinafsi
Imagine wote hao wanaanza first eleven.
Anceloti ana kazi kubwa sana
Kocha anatakiwa ampumzishe dogo endrick anze mbape anajiona yeye n star mkubwa shida ndio inapoanzia