makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ndio maana gaucho aliwahi kusema okocha alifanya haraka kukimbilia epl, ila angeenda laliga angeng'ara sanaSpanish football iko tofauti kidogo na ya nchi nyingine, wenyewe wanaamini kwenye possession na kutumia muda katika kupanga mashambulizi. Na hii ndio sababu ballers kama Zidane, Benzema, Marcelo na Vini Jr watakumbukwa Bernabéu forever.
Mbappe anatakiwa psychologically kuhamia kwenye mfumo mpya, pamoja na pace na speed yake uwanjani anaweza kuleta kitu kipya mimi bado naamini hivyo