Kylian Mbappé na Mgogoro Wake katika Real Madrid

Kylian Mbappé na Mgogoro Wake katika Real Madrid

Spanish football iko tofauti kidogo na ya nchi nyingine, wenyewe wanaamini kwenye possession na kutumia muda katika kupanga mashambulizi. Na hii ndio sababu ballers kama Zidane, Benzema, Marcelo na Vini Jr watakumbukwa Bernabéu forever.
Mbappe anatakiwa psychologically kuhamia kwenye mfumo mpya, pamoja na pace na speed yake uwanjani anaweza kuleta kitu kipya mimi bado naamini hivyo
Ndio maana gaucho aliwahi kusema okocha alifanya haraka kukimbilia epl, ila angeenda laliga angeng'ara sana
 
Mbappe ameshabandika goli 12 mpaka sasa, bado munalalamika, muna pupa sana vijana, mulitaka awe kushafunga goli 30 kipindi hiki ?
 
Mbappe ameshabandika goli 12 mpaka sasa, bado munalalamika, muna pupa sana vijana, mulitaka awe kushafunga goli 30 kipindi hiki ?
Bila shaka wewe ulikuwa miongoni mwa watu mliosema kuwa Hazard kiwango kimerejea Madrid baada ya msimu wa 20/2+ kucheza michezo 14 na kuwa na 3/2 G/A
 
Bila shaka wewe ulikuwa miongoni mwa watu mliosema kuwa Hazard kiwango kimerejea Madrid baada ya msimu wa 20/2+ kucheza michezo 14 na kuwa na 3/2 G/A

acha kumfananisha Mbappe na vitu vya kijinga
 
Back
Top Bottom