Kylian Mbappé na Mgogoro Wake katika Real Madrid

Kumbuka huyu jamaa mara mbili mfululizo anakosa,game ya liver pia alikosa
So what?
Anakosa Messi kwenye ubora wake sembuse mbappe?...

Kwan kufunga Sana penati ndo kuna-determine Sana ubora wako kuliko magoli ya open play?

Kwanini Tanzania tunamlaumu Sana dube kuliko penati ya azizi ki japo ni Moja sio mbili ila ushajiuliza kwann ?

Atarudi tu kwenye ubora wake .... pressure ni kubwa mno...psychologia pia hayupo poa ....
 
Mchezaji Bora wa DUNIA kachukua Rodrigo🤣🤣.
Dunia tumeishiwa wachezaji
 
Ngoja tusubir,ila mimi nimeshamtoa,naona mpira wake umeishia hapo
 
Maybe anakosa kujiamini, Kuna nafasi nyingi tu anapata Kwa mchezaji wa daraja lake si mahali pa kukosa kabisa, lazima aongeze umakini kwasababu La Liga ni tofauti na ligi ya France Kwa maana ya quality, zipo ambazo mbape amekosa lakini Kwa ufaransa inawezekana ikawa ni magoli kwasababu ya ubora wa wachezaji unatofautiana.
 
Umeongea point mkuu
 
Huyo kenge acha apitie hayo anayoyapitia hapo 'Hala!' mpaka aharishe kweli.

Alileta dharau sana kwa Leo Messi pale PSG ilhali ana hadhi ya chini sana kwa Leo.
Jamaa alikuwa na dharau sana kwa GOAT..wkt Leo akiwa na miaka 22 ana B o 4.....nachokijua mpira unahitaji descpline ya hali ya juu sanaa
 
Kuna fans naona wanasema kuwa atarudi kweny form..kiuhalisia kwa namna wanavyocheza kwa ubinafsi pale RM simuoni katika ubora uliotazamiwa na mashabiki wengi..c ajabu akamaliza carrier yake ka Hazard
 
Nikisoma hapa jukwaani mtu anasema wachezaji wa madrid ni wabinafsi, huwa nashangaa sana...
 
Hana aadabuu huyu mbwaaaa na anajutiaaa psg wanachekaa tu yanayoendelea hahahaha pambafuu
 
Mfumo tu wa huyu Babu unamkataa .....mfumo wa kizamani ....
Mifumo ya Makocha vijana ....unamfaa Sana mbape na atarudi tu kwenye fomu naamini.

makocha vijana sio, kama vile Arteta na Ten Hag wabongo bana
 
-Mbape mbinafsi
-Vinicious jr mbinafsi
-Rodrigo mbinafsi
-Endrick mbinafsi
-Bellingham mbinafsi

Imagine wote hao wanaanza first eleven.

Anceloti ana kazi kubwa sana

umeongea point ya msingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…