Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
-
- #241
Daaaaahh mkuu huoni jina lako kweli au?? Mbona mimi naliona.. Cheki mstari wa pili kutoka mwishosipo tena kwenye list ya tag,nahisi nina gundu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
nimeliona,my apologyDaaaaahh mkuu huoni jina lako kweli au?? Mbona mimi naliona.. Cheki mstari wa pili kutoka mwisho
Mkuu so ufute comment wewe mwenyewe mbona simple tu haina haja kusumbua modsPlease mod naomba uzifute hizi picha zimekuwa attached accidentally kwenye huu uzi wa The Bold
thank youDaaaaahh mkuu huoni jina lako kweli au?? Mbona mimi naliona.. Cheki mstari wa pili kutoka mwisho
Mkuu tatizo mi kuku wa kamba mguuni jinsi ya kufuta ndo shidaMkuu so ufute comment wewe mwenyewe mbona simple tu haina haja kusumbua mods
Mkuu The bold nashukuru mimefanikiwa kuifuta post niliotuma kimakosa kwenye uzi wako.Mkuu tatizo mi kuku wa kamba mguuni jinsi ya kufuta ndo shida
Hawa wanauwana wao kwa wao...biashara hiyo soma vizur utaelewa hawana time na watu ambao hawajiusishi kwenye mishe zao,watoto ,wamama nkKumbe hawa La Ultima Letra ni hatari zaidi ya ISIS. Bado najiuliza mbona ISIS ndio wanaoogopwa sana na Waamerika wakati jirani na kwao kuna watu hatari kama hawa La Ultima Letra.
Ndio maana yake mkuu,, Gulf Cartel waliwapandia dau..Sasa hao maafande waliacha kazi jeshini?!
Wamewapa mwanya haya magenge yameota mizizi kiasi kwamba wao ndio kama serikali yenyewe..Mexico haina Serikali kuanzia raisi mpaka mtumishi wa chini kabisa wote ni wapuuzi.
Nchi ya hovyo sana ile.
Ndio maana yake mkuu,, Gulf Cartel waliwapandia dau..
alafu hiyo avatar yako mmmmmhhhh hahahahahahaha
JF ine members laki tatu unusu na zaidi.! Siwezi kutag member wote..Bold tutagi wote, kwani unajua wangapi tunafuatilia vitu vyako adimu? Tuko wengi sasa naona mna ki group chenu cha kufaidi
Wamewapa mwanya haya magenge yameota mizizi kiasi kwamba wao ndio kama serikali yenyewe..