Laana!!! Baba mzazi anatembea na mamkwe wangu

Duh!! Wazazi wapo in early 40's, kama waliwazaa kwa kuwahi maana yake waliwazaa in early 20's, ikimaanisha wewe ma mkeo mpo kwenye late 10's. Kwa hapo mi naomba niishie hapohapo.
Yaani hata mimi nimejiuliza hilo swali maana mie niko umri Fulani hivi nimepiga hesabu nikaona kama huyo dogo ndio angekuwa ni mwanangu yule wa kujifunzia sekondari basi angekuwa form four now ila yeye tayari ameoa na ana nyumba. Kweli JF inabidi tuanzishiwe jukwaa la wazee
 
Hawatakuelewa sema hao wazazi wameshindwa kujizuia, wangeyafanya hayo nje ya nyumba yako. Wote hawafai

Muwezeshe Mzee arudi kwake na hata mamamkwe pia arudi kwake. Kumbuka mlamba asali halambi mara moja ni lazima wataendeleza .
Ahsante kwa ushauri wako mkuu, kuna watu hawajaamini wanaishiwa kuniandama kwa kuzingatia age factor. Hivi hawa hawajui ndoa ya kijijini jamani? Mi mzazi wangu hajasoma kiviile.
 
Hahaha nimekuelewa sana mkuu. Thank you
 
Duh!! Wazazi wapo in early 40's, kama waliwazaa kwa kuwahi maana yake waliwazaa in early 20's, ikimaanisha wewe ma mkeo mpo kwenye late 10's. Kwa hapo mi naomba niishie hapohapo.

na wanawajukuu sio mjuu kwa hao wazazi wao!!
 
Vijijini watu wanaolewa na kuzaa wangali wadogo sana mid 15-18 na nashangaa wanapohoji umri wako wakati Tanzania kuna mpaka mabalaza , matamasha ya kuzuia ndoa za utotoni.
Daa bora umenisaidia yaani watu hawaelewi kabisa . tatizo kuna watu wamezaliwa mjini hawajawai tembea
 
No mkuu jamaa yuko sahihi mi mwenyewe wazaz wapo early 40s mi niko mid 20 [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwenye jamii za makabila ya kutanzania inawezekana
Ahsante mkuu kwa kunisaidia kuwaelesha hawa watu
 
Wew dogo acha kutudanganya yaan kwa umri huo umeisha jenga na umeisha oa ulikuwa unafanya kazi gani iliyo kupatia kipato hicho da ama kweli muongo ni muonga tu .pumbav
Yani huyo dingi ni noma kinachofuata ni wewe n mkeo kugegedwa ,shubamiiit story za kitoto usilete hapa
 
Nipe siri best kuoa na kujenga nyumba ya vyumba vingi kwa umri huo
Niliona magumashi elimu ya bongo nkaishia form 6 tukaongea na mzee akaniachia kamradi fulani hivi . baada ya miaka 2 na nusu nikanunua kiwanja na kujenga. Pia nilipata ushirikiano mkubwa kotoka kwa wife.
 
Wew dogo acha kutudanganya yaan kwa umri huo umeisha jenga na umeisha oa ulikuwa unafanya kazi gani iliyo kupatia kipato hicho da ama kweli muongo ni muonga tu .pumbav
Nashukuru kwa tusi .kumbuka kuna njia nyingi sana za kupata mali. Kijitafutia kwa nguvu, bahati na sibu, kurithi, kwa njia ya uwizi na utapeli na mengine mengi. Naona wewe umekariri njia moja tu ya kutafuta mwenyewe kwa nguvu na akili. Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…