Laana ya mtandao na kuvurugika kwa chaguzi za chama: 1995-2025

Kila siku nasema. Tungekuwa na TISS wenye akili nchi hii ingekuwa The Most developed country in Africa.

Kukosa kwao akili na kushindwa kuzuia hatari kwa wakati kunaligharimu na kutaligharimu hili Taifa milele.
Anaye pendekez tiss ndiye huyo huyo mtuhumiwa namba moja huyo tiss mwenye akili unamtolea wapi.
 
Kila siku nasema. Tungekuwa na TISS wenye akili nchi hii ingekuwa The Most developed country in Africa.

Kukosa kwao akili na kushindwa kuzuia hatari kwa wakati kunaligharimu na kutaligharimu hili Taifa milele.
TISS wenye akili wapo, ila sasa giza limezidi ndani hata wao wameishapigwa upofu
 
Wasalaam Aleykhum!
 
Asalaam Aleykhum!
 
Wasalaam Aleykhum!
Waleikhum Musliaam wallah mathuulah wabaraqthu.
====
Inafika wakati hata codes haziandikiki...nani alijua kuwa namba 2 ni sawa na 99 katika thamani wakati wa hesabu za mpangilio (permutation). Ni yaani 99 ikianza na 2 ikakaa mwisho hakuna shida kikubwa idadi ya mipangilio tunayotaka ipatikane. Kibaya zaidi na cha kushangaza, kwa uwepo wa teknolojia (AI) hiyo 99 ikiwa kwenye nafasi ya 2 inaweza kuhamishiwa "katikati" au "kufutwa" na ikawa vigumu kuijua ipo nafasi gani au ipi lakini majibu yatapatikana ingawa sina hakika kama AI itatupa majibu halisi au itatupa majibu tunayotaka kusikia!

Hata hivyo, nashangazwa na wafanya mahesabu kutulia kiasi kama wamesusia kila kitu AI!!!
 
AI itself is a virus....​
 
AI itself is a virus....​
Upulize sumu kwenye nyumba, wakati huo wewe upo nje au nawe ndani?..hivi mtandao ni JK au wa rostam na mmasai?.. maana huko nyuma tuliambiwa rostam na mmasai waliamua kumuweka jk mbele baada ya mamvi kunyooshewa kidole cha laana na KAISARI,na 2011-15 JK aliamua chama kijitegemee kutokana na masimango,ikapelekea hadi mbulushi kujivua gamba.. mtandao ni wa nani hasa?

Jk ni mwanamtandao au ni senior member wa deep state?
 
Aiseeeeeee
 
Umeelezwa kila kitu ila bado huelewi tu!
 
Vyote kwa pamoja, mtandao ni wake na deep ni yake
 
Vyote kwa pamoja, mtandao ni wake na deep ni yake
Mtandao haukua Mali yake bali rostam na mamvi,ila laana za mzee kwa mamvi ndiyo wakaona watafute mtu msafi akae mbele halafu baadae huko wamtoe, ndiyo maana 2006 mamvi alikua anasema mkwere awamu moja inamtosha

JK kugombea 1995 ni baada ya kuambiwa na mzee achukue form, akajua yeye ni mteule mpaka washkaj zake kitengo walipomsanua kuwa dingi anakuzingua,saa sita usiku njoo sehemu flan tuchil uone,kwenda anaona dingi anaenda kwa mmakonde
Dingi alimwambia achukue form Ili kumdhibiti malima, malima na kete ya uislam angeitumia nec ingeleta shida, maana bara na visiwani hutoa wajumbe sawa
 

“”Ukitazama kwa mapana nchi inakoelekea si pazuri, na sijui huyo Mzee ananufaika na nini kuharibu nchi kwa namna hiyo.”

Watu wa pwani ndio tulivyo. Ni ulimbukeni tu. Ulafi na tamaa za kipumbavu.

JK anashindwa hata kuiga mambo ya maana anayofanya Kagame hapo Rwanda na kanchi kadogo kabisa?

Kama hata hilo hana upeo nalo. Basi angekuwa anakemea mambo ya hovyo yanayoendelea. Kutwa kupiga piga mapicha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…