Laana ya mtandao na kuvurugika kwa chaguzi za chama: 1995-2025

Laana ya mtandao na kuvurugika kwa chaguzi za chama: 1995-2025

Allegedly kutoka kwa third part source. Samia hakutaka kutoa amri, mpaka alipopelekewa mjumbe kumshawishi. .
Commander In Chief (CIC) will always be responsible for crimes committed by her subordinates within the armed forces, intelligence, police, militia and political parties. It is called COMMAND RESPONSIBILITY. There's no magic wand to exonerate herself or expunge her diabolical stains.

Kiufupi, meli inazama na watu watakaokwenda chini ni wengi mno kuliko ambavyo wewe unaweza kufikiri. Wengi mno. Huu msiba wa kipindi hiki ni mdogo mno, kulinganisha na msiba utakaotokea siku za karibuni. Hatakuwepo mtu wa kumpooza mwenzake maana kila mtu atakuwa na maumivu yake makali.

HABARI ZIJAZO ZITAWAFANYA MKUNE MASIKIO....
​
 
Agree Samia kama amiri jeshi mkuu the bulk stops with her, not anyone else.

What transpired behind the scene leading to the senseless killings doesn’t matter, yeye ndie alietoa amri na hilo ndio la msingi.
 
Commander In Chief (CIC) will always be responsible for crimes committed by her subordinates within the armed forces, intelligence, police, militia and political parties. It is called COMMAND RESPONSIBILITY. There's no magic wand to exonerate herself or expunge her diabolical stains.

Kiufupi, meli inazama na watu watakaokwenda chini ni wengi mno kuliko ambavyo wewe unaweza kufikiri. Wengi mno. Huu msiba wa kipindi hiki ni mdogo mno, kulinganisha na msiba utakaotokea siku za karibuni. Hatakuwepo mtu wa kumpooza mwenzake maana kila mtu atakuwa na maumivu yake makali.

HABARI ZIJAZO ZITAWAFANYA MKUNE MASIKIO....
​
Huyo mama wanaojaribu kumsafisha watashuka nae mazima chini
 
Huu msiba wa kipindi hiki ni mdogo mno, kulinganisha na msiba utakaotokea siku za karibuni. Hatakuwepo mtu wa kumpooza mwenzake maana kila mtu atakuwa na maumivu yake makali.

HABARI ZIJAZO ZITAWAFANYA MKUNE MASIKIO....
​
Mkuu,

Msiba unaoongelea ni huu wa kesho kutwa 9D? Au tutarajie msiba mwingine siku za usoni.
 
Mkuu,

Msiba unaoongelea ni huu wa kesho kutwa 9D? Au tutarajie msiba mwingine siku za usoni.
Huu wa d9 na ndio unai tisha na kuogopeka, vikao vya usalama kimkoa vime shamiri.

Ukaguzi wa hapa na pale, kuangalia tishio wana sahau huu mchezo ni kwao huku ni kumalizikia tu.
 
Huu wa d9 na ndio unai tisha na kuogopeka, vikao vya usalama kimkoa vime shamiri.

Ukaguzi wa hapa na pale, kuangalia tishio wana sahau huu mchezo ni kwao huku ni kumalizikia tu.
Intellijensia yangu inaniambia 9D hakutakuwa na maandamano,japo machale yananicheza kuwa Kwa yaliyotokea 29Oct ndiyo mwanzo wa kuingia silaha za magendo kwa watu wenye vinyongo kwa yaliyotokea kwa ndugu zao.

Nahisi mwanzo wa visasi vya silaha.
20251109_160743.jpg
 
​
"Once is an accident. Twice is a coincidence. Thrice is a pattern"

Watanzania tumefika hapa kwasababu ni watu tunaopenda kupuuza mambo, kutokufikiria ipasavyo na kuendesha maisha yetu kimazoea. Binafsi huwa naamini kama tungekuwa hatupuuzi mambo kuna watu wasingediriki hata kuomba ridhaa ya kututawala. Hebu angalia huu mlolongo, halafu fikiria kama kuna bahati mbaya yoyote.

Mwaka 1995, uchaguzi wa mgombea Uraisi ndani ya CCM, huyu BWANA alikuwepo. Yeye na MTANDAO wake wakiwa vijana kabisa walifanya jaribio la kutaka wamsimike kuwa mgombea lakini wakazuiwa na kundi la wakubwa lililoongozwa na KAISARI. Kiukweli alishinda, lakini KAISARI alimdhibiti na kwasababu ni mjanja alikubali kushindwa.

Mwaka 2005, KAISARI hayupo. BWANA huyu na MTANDAO wake walifanya vurugu za kukipasua chama vipande-vipande. Walianza kujipanga kimya-kimya tokea mwaka 1995 hadi 2005, wakitumia mbinu chafu kama Rushwa, Mauaji, Ngono, Vitisho, Ahadi, Ushirikina na Propaganda. Watanzania walipuuza hii michezo ambayo ilifanywa na vibaraka wa MTANDAO walioko kwenye taasisi nyeti za dola, asasi za kiraia, taasisi za kidini na sekta binafsi.

Kipindi hiki BWANA huyu hakufanikiwa kuvuruga tu uchaguzi ndani ya chama, bali aina mbinu hizi alizihamishia hadi kwenye utawala wake ambao tulishuhudia nchi ikiendeshwa kama genge la YAKUZA. Siasa za chuki na makundi, rushwa iliyokithiri, uzembe kazini na siasa za kichawa zilianza na huyu BWANA. Watanzania kwasababu ni watu wakupuuza haya hatupendi kuyasikiliza au kuyajadili.

Mwaka 2015, BWANA huyu na MTANDAO wake waliamua kuvuruga kwa maksudi uchaguzi wa mgombea wa Uraisi. Hapa Afrika Mashariki, CHAMA ni moja ya taasisi kubwa zenye watu wenye akili na weledi. Wengi wao waliomba ridhaa kugombea Uraisi wa nchi, lakini MTANDAO ulioaanza 1995 ukawavuruga mchakato mzima. Mgombea aliyepatikana alikuwa ni wa SHINIKIZO LA WASTAAFU na BAHATI MBAYA.

Ila mbali na hayo BWANA huyu hakukubali kushindwa, akaamua kuvuruga mchakato wa MAKAMU. Watanzania na tatizo lao la kupuuza mambo, wakiwemo WASTAAFU hawakujiuliza kwanini BWANA yule amependekeza hivi kuhusu MAKAMU. Mgombea alikuwa wa BAHATI MBAYA/SHINIKIZO lakini MAKAMU alikuwa yupo KIMKAKATI.

Mwaka 2021, BWANA huyu alifanikiwa tena kuvuruga mchakato ndani ya CHAMA kwasababu mwaka 2015 alifanikiwa kupenyeza Farasi Wa Troa (Trojan Horse) kwenye nafasi ya UMAKAMU. Jambo hili watanzania wengi kwasababu ni watu wanaopenda kupuuza mambo, wakiwemo WASTAAFU hawakuona uzito wake kipindi hicho walikuja kustuka tu BWANA na MTANDAO wake wanajirudisha kwenye USUKANI kinyemela.

Mwaka 2025, BWANA huyu na MTANDAO karudia kufanya yaleyale aliyoyafanya kwenye chaguzi zote za mgombe Uraisi tokea 1995, 2005 na 2015. Jinsi utaratibu ulivyovunjwa mwaka 2015, ndivyo utamaduni umevunjwa 2025 yeye akiwa kinara. MTANDAO utafanya hivi tena 2030 na 2040. Bahati mbaya kipindi hiki watanzania washafahamu kwamba UMAKAMU kumbe ni mkubwa, uwepo wa BALOZI ambaye alikuwa mwana-MTANDAO huko nyuma, imeonekana ni CHANGAMOTO kwa BWANA.

=======================

KWENYE ULIMWENGU WA SIASA, SIYO BAHATI MBAYA mtu mmoja kuwepo na kuwa na ushawishi kwenye chaguzi za nafasi ya URAISI kwa kipindi cha miaka isiyopungua 30. Mnaweza mkamuita MWANAMKAKATI, BORN-TOWN, MASTER-MIND, KING-MAKER lakini, jambo ambalo BWANA huyu amefanikiwa kulifanya hata KAISARI kule kwenye kaburi anaona WIVU. Kuwa muhusika mkuu (MAIN PROTAGONIST) kwenye kila CHAGUZI ndani ya CHAMA kuanzia mwaka 1995, 2005, 2015 na 2025, ni jambo ambalo inabidi wanazuoni walifanyie TAFITI.

KINACHOSHANGAZA: Mwaka 2015, wakati BWANA na MTANDAO wamevuruga mchakato mzima wa UCHAGUZI ndani ya CHAMA. Aliyependekezwa UMAKAMU kipindi hiki alitoka nje kupinga mchakato mzima. Lakini mwaka 2025, yeye naye amerudia kufanya kilekile ambacho alikipinga kwa nguvu mwaka 2015.

Tena zaidi CHAMA kimegawanyika kwasababu aliyeratibu mchakato wa kutoa FOMU MOJA KWA MGOMBEA mwaka 2020, kaibuka kupinga uharamu uliofanyika kwenye mchakato wa kumpata mgombea Uraisi mwaka 2025. Yeye naye akipewa nafasi ya kugombea nafasi za juu kupitia njia haramu atanyamaza kama BALOZI mwenzake alivyofanya mwaka 2025.

=========================

Anachokifanya BWANA na MTANDAO wake kilifanikiwa tu kufanywa na Dikteta Sani Abacha kule Nigeria ambaye alifanikiwa kuvuruga michakato ya siasa Nigeria tokea mwaka 1966-1998, ambapo alikuwa nyuma ya uhaini (MAIN PROTAGONIST) ulioingiza au kutoa madarakani MARAISI 10 akiwemo na yeye.

CHAMA kumuweka BALOZI Uraisi kupitia UMAKAMU ni kijidanganya tu. CHAMA kilimuweka TINGATINGA lakini bado LAANA YA MTANDAO haikukiacha CHAMA, SERIKALI na NCHI. Mkishavunja utaratibu ndani ya CHAMA msidhani mtaweza kupambana na watu kama BWANA na MTANDAO.

Mpaka leo hii siasa za Nigeria zimekuwa ngumu kwasababu ya Sani Abacha na mtandao aliouacha. Hivyo hata kama BWANA ataondoka, madhara ambayo MTANDAO wake umeuacha kwa zaidi ya miaka 30 yataendelea kuiumiza NCHI, CHAMA na SERIKALI kwa miaka mingi mbele.

===========================

KIUFUPI TULIPOFIKA: Ili kuisadia nchi hapa ilipofika ni kufanya UWENDAWAZIMU (Doing the unthinkable). Hatuna utofauti na koloni la wakoma (A Leppers' Colony) ambapo huwezi kutofautisha baina ya mtu aliye MZIMA na MGONJWA. Katika mazingira kama haya, njia ni moja tu, kufunga madirisha ya nyumba na KUPULIZA SUMU, kisha kufunga mlango.

SUMU itaua WATOTO UNAOWAPENDA, itaua WATOTO WASIO NA KOSA, itaua WAGENI WALIOHAMIA, itaua DADA WA KAZI, itaua PANYA, itaua CHAWA, itaua WANYAMA na itaharibu CHAKULA na nyumba haitakalika kwa muda, lakini UGONJWA utakuwa umetoka na hautaweza kusambaa zaidi.

HAKUNA NJIA NYINGINE NJE YA HII.
​
una upeo mkubwa sana wachache tu ndo watakuelewa
 
kuna mkubwa mmoja ana penda sana kutumia helicopter, ana ishusha kwa mbwembwe mno.

Kungekuwa na michezo ya hotel Rwanda, sasa hivi matent yange jaa mahali.
Ngoja tuone sema huyu mtu wameshidwa kumuondoa kweli mabaya yote yuko nyuma yake kisa dili zake
 
Intellijensia yangu inaniambia 9D hakutakuwa na maandamano,japo machale yananicheza kuwa Kwa yaliyotokea 29Oct ndiyo mwanzo wa kuingia silaha za magendo kwa watu wenye vinyongo kwa yaliyotokea kwa ndugu zao.

Nahisi mwanzo wa visasi vya silaha.View attachment 3502118
kwa mara ya 1 babu yangu kasafisha zana zake, na kutoa mafunzo ya kujilinda kwa vijana wake!
 
Sitaki kuamini unachokisema maana hakina ushahidi, kinabaki kuwa ni maoni yako binafsi.

Lakini kama mtu wa namna hiyo yupo basi tumpe Nchi maana inaonekana anaiweza vizuri. Ikiwa mtu huyo anaweza ku control angle zote kama unavyotaka kutuaminisha Why Asiwe kama Trump tukamchagua tena.

Mimi nawaza postively kwamba huyo mtu anatufaa sana. He is powerful, Able and Briliant.

Yangu ni hayo tu.
Powerful,able and brilliant to construct or destroy the NATION's future?
 
Back
Top Bottom