Laana ya mtandao na kuvurugika kwa chaguzi za chama: 1995-2025

MALCOM LUMUMBA

Kuna nadharia moja ya uongozi inasema kuwa, ukiona tatizo kubwa ujue halijaanzia hapo, ni mlolongo wa matatizo mengi madogo madogo yaliyoachwa yakakua mpaka yakawa makubwa. Ukiweza ku manage matatizo madogo haya , hutapata tatizo kubwa. Kimsingi ni kama "Usipoziba ufa, utajenga ukuta".

Wakati wa uongozi wa Kikwete nilikuwa nimekaa na rafiki zangu sehemu fulani Jersey City, New Jersey. Walikuwa wanausema sana uongozi wa Kikwete na mabaya yake. Wakasema Kikwete ndiye rais mbaya kuliko wote tunaoweza kupata. Nikawaambia msiwe wepesi kuhitimisha hivyo, huko mbele mnaweza kuona madudu mpaka mkamlilia Kikwete arudi.

Na kweli, wakampata Magufuli wakaniambia ulijuaje itakuwa hivi?

Nikawaambia it is simple logic. Kila kiongozi ana set a new low standard of leadership. Everyone is lowering the bar. Ndiyo maana Kikwete kaharibu, Magufuli kaharibu zaidi, watu wakaona Samia anatengeneza alipoharibu Magufuli lakini sasa hivi wanasema anaharibu kuliko Magufuli.

Ila kwenye conclusion yako unaonaje kama watu wakiamua chama hiki hakifai na kubadilisha uongozi uende kwenye chama kingine?
 
Kwenye sentensi yako ya mwisho ni watu gani hao ambao wanaweza kuona haja ya kubadilisha viongozi? Kwenye sanduku la kura CCM ilishashindwa miaka mingi. Imebaki madarakani kwa nguvu ya dola. Labda dola yenyewe iamue.

Njia nyingine ninayoona ni pale bomu la muda mrefu la maisha magumu, ukosefu wa ajira, mishahara midogo utakapowakaba wananchi to the extreme of saying enough is enough. Huwa napenda kusema watanzania sisi kuitoa CCM madarakani bado sana maana still we have something to loose.

Hakuna mtu utamwambie twende barabarani akanyanyuka kukufuata. Kila mmoja anaona kuna kitu atapoteza. Hebu twende twende kwanza tukifika hatua ya kusema huna cha kupoteza hapo ndo patamu.
 
"Once is an accident. Twice is a coincidence. Thrice is a pattern"
Your browser is not able to display this video.
 
Ni nani anayetakiwa kupuliza hiyo sumu?

Naunga mkono kufanya maamuzi magumu.

Magu angeweza kutusaidia sana kufanya hiki ulichokisema, kwa bahati mbaya aliingia kwenye ngoma isiyomhusu.


Je, dip steiti inaweza? Ama nayo tayar ishapoteana.

Ila naamini kuna watu wenye uthubutu.
 
njia ni moja tu, kufunga madirisha ya nyumba na KUPULIZA SUMU, kisha kufunga mlango.
Hongera kwa bandiko zuri na la kufikirisha! Marehemu Magufuli aliliona hili na alianza kulifanyia kazi,ilikuwa imebaki kidogo sana huyu Bwana plus mtandao wake wote umalizike!

Laiti marehemu angefanya kwa utulivu mkubwa huyu Bwana asingeweza kung'amua nini kinachoendelea! Huyu Bwana kinachombeba ni yale MAFUNZO plus UBORN TOWN.Ana utulivu na hana papara hata kwenye hatari kubwa!

Wapinzani wake wanafeli coz wanatabirika na hawana utulivu na wamejaa papara, mhemko plus jazba! Jamaa ni KIRUSI NA NI KANSA KUBWA iliyoanza kusambaa kwenye maeneo mengi!

Nakubaliana na wewe kama taifa tufanye kitu kinachoitwa reset button.
 
Uzi umetulia, hata machawa hawajui pa kuingiza mguu; au muda huu kuna maagizo wanapewa? SijAona chawa kutia mguu mpaka posti ya 90, sio kawaida yao. Hawa hata kama hawana hoja wataingiza matukano kuvuruga....
 
Kila siku nasema. Tungekuwa na TISS wenye akili nchi hii ingekuwa The Most developed country in Africa.

Kukosa kwao akili na kushindwa kuzuia hatari kwa wakati kunaligharimu na kutaligharimu hili Taifa milele.
Walishajipanga, ndiyo maana wakawajaza Uvccm huko.Laiti ingekuwa tiss iliyoasisiwa na Nyerere haya yote yasingetokea.
 
Dah, bora great thinkers mmeamua kurudi kuokoa jahazi maana tumechoshwa na uchafu wa chawa wa mama hapa😂
 
Kila siku nasema. Tungekuwa na TISS wenye akili nchi hii ingekuwa The Most developed country in Africa.

Kukosa kwao akili na kushindwa kuzuia hatari kwa wakati kunaligharimu na kutaligharimu hili Taifa milele.
Walitaka kuzuia March 2021, ila CDF Mabeyo aliharibu mambo.
 
"BORA SILAA AWE RAISI KULIKO LISSU KWENDA BUNGENI"
Nimekumbuka hii kauli na kuunganisha doti na aliyeitoa na hiki kinachoendelea kwa Lissu
 
Let it be! Who cares?

Let the country explode - maybe into sanity. It's either serious overall reforms are undertaken to right the shaky foundation set by the "baba wa taifa", at the onset, that has enabled totalitarian rule by successive factions of crooked CCM lowlifes.

OR let the stupid factional power games in CCM continue to plague the nation inexorably. Endless talk about JK, mitandao, michakato ya chama, mbinu chafu, etc. really sucks!
 
I agree to the point ya JK kumleta balozi.

Lakini nadhani lengo la JK lilikuwa kudhibiti uasi na kuondoa idea ya mtu kujaribu kuchukua form 2025. Maana balozi fitna za ndani ya chama anaziweza.

Along the way people got other ideas ambazo ni contrary na mipango ya JK, sasa hivi yeye ndio anacheza ngoma yao.

Uliza Abdul yupo karibu na kigogo gani uraiani, huyo mtu nafasi aliyenayo ilipendekezwa na nani na kigogo mwenyewe ana nguvu gani katika security apparatus (Abdul kwenye hiyo taasisi ni kama acting deputy director).

JK inaweza alikuwa na mipango mengine, ila sasa hivi wenzake wanamtanguliza kama fall guy huku wakiwa na mipango mingine.

Kuna maswala ya siasa za Tanzania kuyaongelea usijifanye wahusika unawajua sana; hawana muamana na watachofanya ukienda in details.

Binafsi kuna mambo naachia fate iamue kuliko kujifanya mjuaji, muhimu ni kupunguza madaraka ya raisi ya kuteua na kupangua kwa kukusikia tu na kuanza kutengeneza stable civil services, Otherwise it was predictable.
 
Kwa waliowahi kuwa karibu naye walikuwa wanamheshimu badala ya kumuamini. Sisi tulio mbali naye ndio tuliokuwa tunamu idolize na kumuamini
Na ndiyo ukweli waliokuwa mbali naye walikuwa wakimweshimu. Kumbuka Sio kila mtu atapata previlage ya kuwa karibu na FAM, TAL, JK., JPM, SSH nk nk ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…