Laana ya mtandao na kuvurugika kwa chaguzi za chama: 1995-2025

Your browser is not able to display this video.
 
You're Welcome Mkuu!​
 
D
Duh 🙄 ! 😱 !
 
Okay, you're welcome mkuu.​
 
You're welcome by the way!​
 
TUNDU ANTIPAS LISSU
ANATOSHA.
 
You're welcome by the way!​
Thank you and my due apologies for the retort. I do indeed appreciate your articulate and logical perspective on matters in this forum.

It's only unfortunate that, way way back, I lost sight of credibility, sincerity, honesty and integrity on the part of political actors, pundits and the citizenry in this country. Today, I only see masses of colourless opportunists, chawas, simpletons, idiots, subservient enforcers, you name it, and their "intellectual" enablers (the likes of Josef Goebbels) swarming moth-like around lanterns hanging from ominous invisible dark ceilings.

I really have a hard time comprehending anyone attempting to rationalise or put objectivity into the immoral actions of these lowlifes who are all sworn to upholding and employing to their maximum benefit, the menacing state structure bequeathed to them by JKN. I do not see any merit in that.

Even JKN, acknowledged the folly (in the then constitution), but, strangely, he couldn't summon the guts to dismantle it (remove the flaw) and leave the nation with a government of the people by the people for the people. That's where he lost big time on legacy. And now we have to contend with the wits of the JKs and their progeny? How sad!
 
The man is very invisible in an open place! Alifanikiwa kutuhadaa kuchukia utawala wa mwendazake ili apate sababu ya elimination! Nao amepa kutorudia kosa kama la 2015
 
Mzalendo Pole pole na Jiwe walikuwa kwenye nafasi nzuri ya kubadilisha mambo ila nao wakalewa madaraka na kuwageuka wananchi, Mpaka Sasa namshangaa wanao mwita jiwe mzalendo
 
Hivi ilikuwaje mwishoni kabla jiwe hajafa niliona ule uzinduzi wa Soko Morogoro February 11 , 2021 akawa karibu sana na Rostam .

Na hili genge watoto wao/ndugu wameshikishwa kama kupe mwingine kuanzia mke hadi mtoto eti wanapita bila kupingwa.
 
Kikwete ikishindikana kudhibitiwa mwaka huu, narudia mwaka huu, Hii nchi inazama mazima na haitakaa iinuke tena!!
Kaka Malcom, hizi nguvu tunazo tumia tungejitahidi kuzielekeza ktk mambo ya kweli na kuondoa dhana zisizo na ushahidi.

Makala ni ndefu nitajaribu changia ktk nukta za msingi kwa nitakavyoweza.

Nukta ya kwanza ya msingi ni CCM mtandao na rais wa awamu ya 4, kosa lake hapo ni kugombea 1995, kisha kuonekana tena ktk uchaguzi 2005 na ule 2015 na chaguzi za sasa. Kwanza fact zipo wazi na mwenyewe anajisemea uchaguzi wa mwaka 1995 hakuwa na nia, alifuatwa na kushawishiwa na vijana wenzake wa wakati huo, kisha akashindwa kuwakatalia akaingia ktk uchaguzi..na hapa kosa kubwa wanalo sakamwa nalo ni kuwa walipanga kuutaka urais nje ya utaratibu wa chama kwa wao kushawishiana! Lakini jambo hilo hakufanya kikwete na kina Lowasa peke yake. Jenerali ulimwengu, Mzee Warioba, Na Benjamini Mkapa walipanga na wao kuusaka urais kama vile kikwete na kina Lowasa walivyo fanya, tazama interview hapo chini kuanzia dk ya 30 hivi kwa hoja hii, ukiwezasikiliza yote kwa faida nyinginezo. Na hatima ikawa upande wa kina Mkapa wakashinda na wakapata urais! Shida ya kuwa kina Kikwete na wenzake ni hatari ina anzia wapi? kama wana makosa ya jinai wakamatwe si haya kupanga uongozi kila pande inapanga mgombea wake! Miaka imeenda Mkapa kamaliza urais wake, upande wa kina Kikwete ukashainda! na Kikwete akawa rais. Laiti dhana ya mtandao ingelikuwa na nguvu nadhani Kikwete asingekubali kumtoa swahiba wake ktk uwaziri mkuu, oka tuseme ilikua ni mkakati wa kumlinda Lowasa kisiasa, kama mtandao kweli una kwanini hajamuachia Lowasa kiti cha urais 2015?

Katika hoja yako, unaonesha Kikwete ali play role ktk uchaguzi wa 19995 bila mafanikio, na kisha akaja play role 2005 akashinda, na umamuhusisha tena na 2015! Unasahau 2015 kuwa alikuwa ndio rais na Mwenyekiti wa chama hivyo alikuwa hakwepeki ktk aamuzi hayo! Na nadhani hoja yako ni kwanini mtu huyohuyo katika chaguzi zote hizo za miaka tofauti? Lakini kwanini umseme kikwete peke yake? Mbona tunao viongozi wengi wamehusika ktk chaguzi za miaka tofauti kwasababu ya nafasi zao au kwakuwa wao walikuwa marais, Nakupa mifano kadhaa hapa la baadhi ya viongozi hao.

Mfano wa kwanza ni Mzee Warioba, alihusika ktk kupatikana kwa Mkpa kama mgombea urais mwaka 1995, sikiliza interview hapo chini. Pili kama umesikiliza press conference za Polepole Mzee Warioba pia alihusika kupatikana kwa Magufuli mwaka 2015 kwa mujibu wa Polepole. Je huyu nae ni mtu hatari kwa taifa kwakuwa nahausika kutupangia marais kwa kuanzia kwa Mkapa kisha Magufuli?

Mfano wa Pili ni Hayati Mzee Mkapa, aliwania urais mwaka 1995 akashinda, kisha 2005 akahusika kupatika kwa rais Kikwete akiwa mwenyekiti wa chama, Ilipofika mwaka 2015, kwa mujibu wa Kabdendera katika kitabu chake, Rais Mkapa allitisha kikao cha siri na viongozi wa dini (akiwemo Mzee Pengo) na baadhi ya viongozi wastaafu na kutamka kuwa anapanga kumpendekeza au kumchagua JPM kama mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM, Hili hata Polepole amelisema pia ktk press conference kuwa JPM alipatikana kwa nguvu ya Mzee Mkapa. Je Mzee mkapa kwa hayo na yeye alikuwa mtu hatari kwa taifa? Hasa kwa kuzingatia jinsi utawala wa JPM ulivyo enda, je Na yeye wana mtandao wao ? au Hoja ni ipi hasa?

Twende na hilo la uteuzi wa Makmu wa rais, na kuwa Kikwete alipendeza SSH, kosa ni lipi hapo? Ktk uongozi mbona hayo ni mambo ya kawaida. Nakupa mfano, Kwa mujibu wa Mzee Kimitii, Rais Mkapa alitaka mteua yeye kama Waziri Mkuu lakini Mwl Nyerere akamkatalia kuwa asimpe Kimiti uwaziri Mkuu kwasababu ya kuwa na yeye ni mkatoliki. Je hayo hayafanani? Huoni pengine Kikwete aliona jicho la kisiasa kwa kutazama kuvutia kura za wanawake ktk uchaguzi ulikuwa unaonekana ni mgumu? Hoja ni ni hapo ktk mazingira ya uongozi na vika vya chama? Na kama SSH alikuwa tishio kwa JPM kwanini JPM hakumbadili ilipofika mwaka 2020? Maan alikuwa na nguvu zote za kufanya hayo!

Kuhusu kifo cha Rais JPM, mbona mambo ya afya za wagombewa ilikuwa mjdala toka 2015? CCM walianza mshambuli MZee LOwasa kuwa ana tatizo la afya na ikuli si wodi, wala hatutaki tupate msiba wa Rais sisi. Lowasa na wenzake including Mzee Sumaye wakajibu Kwani huyo JPM ni mzima? Unadhani walijibu bahati mbaya? hawakujua wanalo sema?

Siasa za fitna zitatukwamisha kama taifa


View: https://www.youtube.com/watch?v=O6Uena9vFMc&t=2128s
 
Heko kwa bandiko lako ndugu MALCOM LUMUMBA
Inawezekana huyu KING-MAKER sio hatari hivyo kama tunavyotaka kuaminishwa maana kuna vitu vilitokea hapo katikati hadi vikatoa picha ya kwamba yeye sio MASTERMIND wa mchezo mzima bali kuna wanufaika wengine kuliko yeye.
Mchakato wa mabadiliko ya katiba uliruhusiwa katika hatua za mwisho za utawala wa huyu Bwana na ilikuwa imebaki kidogo sana hiki kitabu kipitishwe na kuwa rasmi kabla ya kutupiliwa mbali dakika za lala salama. Wote tunajua ni kwa namna gani katiba ya Warioba ingeenda kuwa mwiba mchungu kwa wanamtandao na inawezekana ndio walishinikiza kipotezewe. Kama kweli huyu Born town angekuwa ana plan mbele ya muda, hili alitakiwa awe amelijua mapema na mchakato wa mabadiliko ya katiba wala usingepewa promo kwa namna yoyote ile ili kulinda maslahi yao sasa na mbeleni.

Kwa mtizamo wangu mimi, huyu jamaa anaweza kuwa ni vessel tu ya masterminds wengine wanaocheza hii game nyuma ya pazia na yeye anatumikishwa tu kufikia malengo. Kinachomponza ni kule kunufaika na yale mabaki yeye na familia yake.
 
Taratibu kabisa naona somo linaanza kueleweka hadi kwa wale wanaojiita wakereketwa wa CHAMA. Sisi tupo hapa, tunafuatilia kwa utaratibu.

YETU MACHO....!
​
 
Reactions: Ame
Sawa mkuu, tujipe muda tu.​
 
Eti hujui kundi hili ni la kidunia? Hawa ni elite ambao wamejichomeka kwenye taasisi za nchi na vyama bahati Yao mbaya Kwa sasa Donald wa Alaska ni orthodox hawana pakushika..Vuta kumbukumbu ya door ones aka simbons nani alikuja kuizindua? Na huko waliko wamevurugwa ilivyo, yule mwafrika aliyesababisha wazalendo wetu kule pembe ya Africa kuweka kwenye mtaro wa maji machafu naye yupo hoi huko kwao...Let me watch the show, wengine ni spectators tu lakini Mungu alitupa ufalme mabegani kwetu. Tukisema inakuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…