Labda mimi ni ushamba na ulimbukeni wangu lakini kidume kubeba mkoba namna hii kama hivi ni trash

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Sasa mtaanza kumtetea kuwa hio ni briefcase, sijui man purse, lakini kiukweli this is whack!

Screenshot_20260210_084936_Instagram.jpg
 
Ndio fasheni za vijana na wasanii , hapo kinachotafutwa ni attention yako kama ulivyopost hivyo , iwe kwa ubaya au kwa uzuri kisaikolojia yeye kama msanii ameshakamata attention yako
hakuna fashion ya hivyo aise Yani kidume uvae sket,gauni,dera,utembee na pochi ya kike useme unatafuta attention kama sio umama huo ni nini??
 
No bro, theres more than fashion and attention to somebody.
Unachokisema ni kweli kabisa, ila msanii anawinda pesa ya kila kundi kwenye jamii.

Msanii huja na ubunifu tofauti tofauti ili kupata mioyo ya kila kundi , yeye huangalia pesa tu na mashabiki zake kutoka kwenye kila kundi kwenye jamii.
 
Back
Top Bottom