cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Watu wanatokwa povu hapa hatari, kwani uanaume wanalazimishana??
Wabongo bhana, mtu anaumia kisa mwenzie kaamua kujiweka tofauti na jinsi yake. Na hajashawishi mtu mwingine afuate.
Sasa hasira na kelele za nini? Wee umeamua kubaki kiumeni, basi baki, na yule aliyeamua ku left muache aondoke, si ni maamuzi yake. Kwani unampangia wewee?
NB: Reply bila mhemko. 😂😂😂😂😂😂