Labda mimi ni ushamba na ulimbukeni wangu lakini kidume kubeba mkoba namna hii kama hivi ni trash

Labda mimi ni ushamba na ulimbukeni wangu lakini kidume kubeba mkoba namna hii kama hivi ni trash

Mkuu Tanzania mpo busy sana na Elimu wakati hata hiyo fani ndio Elimu yake ushawahi kujiuliza wachezaji wakubwa wana Elimu gani? Nyinyi Elimu au kipaji ni mpaka ufanye mitihani ya Necta mtu akiwa mtaalamu gofu,cricket riadha sio fani hizo mpaka achore ua sio lenye kikonyo..
Mtu anafanikiwa kwa fani yake unasema darasa la pili Mwalimu alitudumaza sana aisee.
Tatizo lenu ndiyo hilo shallow thinking/reasoning. Mtu akiwa na hela, basi elimu haina maana wakati hata hizo michezo inafanyika kwa sababu watu walikwenda darasani waka develop technology ya vifaa vya michezo hiyo! Ndiyo hawa failures wakavitumia!
Kwaheri, sidhani kama unaweza kunielewa
 
Wewe soma ili utafute kazi wengine hawasomi kama wewe hao wametoka kwenye fani yao kabla ya fani yake wewe ungemjua wapi huyo mzala alikua ajui hata kuongea kiswahili leo hii yupo na Lugha tofauti na ana watu upo busy kujifanya unamfundisha sio kweli wewe Pambana na kusoma ili hao wasio soma wakuajiri kwa ujira mdogo kutwa kujisifia Elimu Elimu ambayo imekudumaza tu...
 
Aah qmamae wanawake wote hawa wamejaa na mitako mikubwa kama tranka ndio nigeukie wanaume? Hiyo michezo yenu endeleeni nayo tu ila fainali uzeeni!! Ukishagonga 50+ na mikunyanzi mwili mzima na ****** uko wazi hakuna marinda ndio akili zitawakaa sawa! Saiz si mnaona fresh? Siku zaja
Si unamuona E.JOHN akitembea kama centre bolt imekatika anatembea kama ngadu

Ova
 
It's a man bag
images (7).jpeg
 
Kwani jamaa ni masanii?
Mkuu mbona Kuna wachezaji kibao wa mpira Huwa wanakataa kuvaa logo za ushoga?

Huyu zuchu si amewahi kukataa kutangaza pombe lkn kutwa kucha anavaaa vichupi na kitovu wazi?
😆😆

Dalili ya mvua ni mawingu siku zote. Mimi siwezi katika Hali yoyote Ile.
 
Ni kweli hauwezi kwa hali yoyote hata mimi pia siwezi , ila haiondoi maana ya kuwa wapo wanaoweza ili kusaka attention ya kisanii .
 
Aah qmamae wanawake wote hawa wamejaa na mitako mikubwa kama tranka ndio nigeukie wanaume? Hiyo michezo yenu endeleeni nayo tu ila fainali uzeeni!! Ukishagonga 50+ na mikunyanzi mwili mzima na ****** uko wazi hakuna marinda ndio akili zitawakaa sawa! Saiz si mnaona fresh? Siku zaja
Mbona hasira sana mdau, au kuna anayekujua humu? Wee ni GAY.
em nitolee hasira zako huko.
 
Back
Top Bottom