Labda mimi ni ushamba na ulimbukeni wangu lakini kidume kubeba mkoba namna hii kama hivi ni trash

Labda mimi ni ushamba na ulimbukeni wangu lakini kidume kubeba mkoba namna hii kama hivi ni trash

Mkuu Tanzania mpo busy sana na Elimu wakati hata hiyo fani ndio Elimu yake ushawahi kujiuliza wachezaji wakubwa wana Elimu gani? Nyinyi Elimu au kipaji ni mpaka ufanye mitihani ya Necta mtu akiwa mtaalamu gofu,cricket riadha sio fani hizo mpaka achore ua sio lenye kikonyo..
Amesema huyu ni la 7 failure au sijasoma vizuri?
 
Sasa mtaanza kumtetea kuwa hio ni briefcase, sijui man purse, lakini kiukweli this is whack!

Hapo amefanikisha lengo lake, hata sisi ambao hatumfuatilii umetuingiza kwenye mkumbo wa kujadili na pengine wengine watataka kujua hapo alikuwa anatoka wapi au anaenda wapi na kwenye mkoba kuna vitu gani, controversies ndiyo wanapenda kwani ndiyo huwafanya wajadiliwe.
Publicity iwe positive au negative bado unabaki kuwa ni publicity tu.
 
Watu wanatokwa povu hapa hatari, kwani uanaume wanalazimishana??

Wabongo bhana, mtu anaumia kisa mwenzie kaamua kujiweka tofauti na jinsi yake. Na hajashawishi mtu mwingine afuate.
Sasa hasira na kelele za nini? Wee umeamua kubaki kiumeni, basi baki, na yule aliyeamua ku left muache aondoke, si ni maamuzi yake. Kwani unampangia wewee?

NB: Reply bila mhemko. 😂😂😂😂😂😂
Wewe tena? We si unafurahi mkizidi kuongezeka😁😁
Inaonekana mtu aki declare publicly kwamba ye ni mpunga huwa mnafanya bonge la sherehe kwenye vyama vyenu na kummwagia minoti shindiliii
 
Wewe tena? We si unafurahi mkizidi kuongezeka😁😁
Inaonekana mtu aki declare publicly kwamba ye ni mpunga huwa mnafanya bonge la sherehe kwenye vyama vyenu na kummwagia minoti shindiliii
😂😂😂😂😂 na wee ni mwana chama, haya uliyajuaje, ikiwa hauko chamaniii?/

Wee ni mwanakwetu kabisaa, 😂😂😂😂😂
 
Haya yaishie hapo kiume zaidi, usilete ushoga kwenye comment za Wanaume utapakatwa
Nimekwambia situkani kwenye mitando ila sio mnyonge kivile macho kwa macho situkanwi na mtu yeyote yule na nikamwangalia tu maana najua hapa hakuna kitu kitafanyika zaidi..
 
Nimekwambia situkani kwenye mitando ila sio mnyonge kivile macho kwa macho situkanwi na mtu yeyote yule na nikamwangalia tu maana najua hapa hakuna kitu kitafanyika zaidi..
Tufanye yameisha mkuu, maana sioni faida yoyote ya haya majibizano, we don't get anything on this, so let end this peaceful okay?
 
Back
Top Bottom