min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kweli.Unges mtupu usanii wa kizaz hiki
Kama una watoto,ndg wa watoto zako,jamaa wambie wakae mbali na kuiga wasanii wa kisasa
Ova
Kweli.Unges mtupu usanii wa kizaz hiki
Kama una watoto,ndg wa watoto zako,jamaa wambie wakae mbali na kuiga wasanii wa kisasa
Ova
mambo ya kipumbavu sanaMiziki ya sahv unges upuz unaingizwa ili kupush mambo yao
Ova
Ni kweli kabisa unavyosema , ila wao wasanii wanalenga maslai yao ya kisaniihakuna fashion ya hivyo aise Yani kidume uvae sket,gauni,dera,utembee na pochi ya kike useme unatafuta attention kama sio umama huo ni nini??
Hakuna usiri...ushenz ni mwingi tu hufanyikaHuko sasa sijui mkuu, kwa sababu hayo hata kama yapo hufanyika kwa usiri
Sijajua na huwa sifuatilii.Hakuna usiri...ushenz ni mwingi tu hufanyika
Ova
Maslahi upuz maana sahv wasanii wako tayar kuuza utu wao kisa umaarufuNi kweli kabisa unavyosema , ila wao wasanii wanalenga maslai yao ya kisanii
Sasa mtaanza kumtetea kuwa hio ni briefcase, sijui man purse, lakini kiukweli this is whack!
View attachment 3541926
Hizo ni Gharama ya umaarufu mkuuMaslahi upuz maana sahv wasanii wako tayar kuuza utu wao kisa umaarufu
Ova
there is something beyondNi kweli kabisa unavyosema , ila wao wasanii wanalenga maslai yao ya kisanii
Angalia movie flani ya 2019 inaitwa Empire ya tyalar Perrythere is something beyond
Wewe wasema, una ushahidi?Chakula ya didy
Huyu ni darasa la saba failure, no more no lessSasa mtaanza kumtetea kuwa hio ni briefcase, sijui man purse, lakini kiukweli this is whack!
View attachment 3541926
Pdiddy effect bloanguSasa mtaanza kumtetea kuwa hio ni briefcase, sijui man purse, lakini kiukweli this is whack!
View attachment 3541926