Labda mimi ni ushamba na ulimbukeni wangu lakini kidume kubeba mkoba namna hii kama hivi ni trash

Sasa mtaanza kumtetea kuwa hio ni briefcase, sijui man purse, lakini kiukweli this is whack!

Ndiyo maisha aliyochagua.

Ukimpost tu, unam promote.

Kama hupendi alivyo mpite tu, si lazima awe kama wewe unavyotaka.

Jifunze kuheshimu uchaguzi wa watu wengine katika maisha.

Hususan kama hawakuhusu na hawatumii chako.
 
Mbona hasira sana mdau, au kuna anayekujua humu? Wee ni GAY.
em nitolee hasira zako huko.
Aisee
Baby umeshinda, sio mchezo umemdiasgosis na pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis
 
Usanii, wasanii huuza taswira ili kupata attention kwenye jamii, aina ya jamii iliyopo kwa sasa inawashape wasanii kufanya chochote ili kupata attention kivyovyote vile.
Hata yy aliyah Sema kuwa hata wanawak anaotoka nao,yaan fujo za kimahusiano zinalenga kuvuta masikio ya wateja hakuna la ziada,utasikia kamzalisha fulan,leo yuko na fulani ect
 
Sasa mtaanza kumtetea kuwa hio ni briefcase, sijui man purse, lakini kiukweli this is whack!


Bongo bahati mbaya syndrome

Fasheni za huko ma mbele zinakopiwa sana na ma celebrity wetu wakubwa hapa Bongo

Toka maktaba:

November 2025
Jules Kounde na wachezaji mbalimbali wa timu ya Taifa ya France wakiwasili kwa style na fashion tofauti tofauti


View: https://m.youtube.com/watch?v=MEwKZCmgDXw
 
Mambo ya Dasulamu
 

Attachments

  • xavier_la_michongo_8d67ba4b55794940950d9008768c0fa3.mp4
    3.8 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ