Labda ni dini zetu ndio zinazotuchanganya na kupotosha kuhusu Mungu

Mimi naamini zaidi utakavyo mjua Mungu ndio zaidi utakavyo ujua ukweli na kuwa huru zaidi. Lakini tulichofanya nikujua dini zaidi ya Mungu.

Kwa kuwa mashirika haya ya dini yanataka uzame ndani yao zaidi huku wakituambia bila wao hatutamfikia Mungu basi hawako tayari kukupa nafasi ya kuweza kujua na kutambua uwepo na ukweli wa Mungu.

We fikiria kiundani zaidi, kwa kuwa Mungu ni mmoja sasa kwa nini Mungu aabudiwe katika misingi tofauti na ya ajabu isio kuwa na umoja wa kumuabudu Mungu. Mashirika haya ya dini yanagawanya watu na kufundisha chuki dhidi ya wasio wa dini ya kufanana, hii ikiwa ni ishara ya kukosa umoja kwa Mungu tunaemini ni mmoja.

Kuna njia ya kumjua Mungu zaidi na ukweli kuhusu Mungu lakini umekuwa coiled in someway kwamba ukidadisi sana utalaaniwa na kukufuru. Sijui kama hii ni ukweli, lakini in some kinda of way nafikiri Mungu mwenyewe angependa tumtafute zaidi yeye kuliko jinsi tunavyoelekezwa na mashirika yetu ya dini.
njoo kwa wasabato, at least wanatoa mwanya wa kuuliza maswali na kutoa majibu
pia wana utaratibu wa kuwa na madarasa ya kujifunza kila wanapokutana
kuna kipindi kinaitwa shule ya sabato, hii ni shule kabisa wanapeana chalenge za kujifunza maandiko
Kuna madhehebu ukimbana mtu/kiongozi juu ya andiko fulani anakujibu kuwa wao hawaamini biblia pekee
 
Mimi naamini zaidi utakavyo mjua Mungu ndio zaidi utakavyo ujua ukweli na kuwa huru zaidi. Lakini tulichofanya nikujua dini zaidi ya Mungu.

Kwa kuwa mashirika haya ya dini yanataka uzame ndani yao zaidi huku wakituambia bila wao hatutamfikia Mungu basi hawako tayari kukupa nafasi ya kuweza kujua na kutambua uwepo na ukweli wa Mungu.

We fikiria kiundani zaidi, kwa kuwa Mungu ni mmoja sasa kwa nini Mungu aabudiwe katika misingi tofauti na ya ajabu isio kuwa na umoja wa kumuabudu Mungu. Mashirika haya ya dini yanagawanya watu na kufundisha chuki dhidi ya wasio wa dini ya kufanana, hii ikiwa ni ishara ya kukosa umoja kwa Mungu tunaemini ni mmoja.

Kuna njia ya kumjua Mungu zaidi na ukweli kuhusu Mungu lakini umekuwa coiled in someway kwamba ukidadisi sana utalaaniwa na kukufuru. Sijui kama hii ni ukweli, lakini in some kinda of way nafikiri Mungu mwenyewe angependa tumtafute zaidi yeye kuliko jinsi tunavyoelekezwa na mashirika yetu ya dini.
sasa tutamjuaje na kajifichaga hata hataki tumuone sijui sasa alituumba ili iweje .malamojamoja angekua anakuja tunamsujudia anenda zake kwanza kusingekua nahizi sintofahamu hizi. mala wazungu wanasema hichi mala walabu wasema hichi' wachina wanastory zao wahindi wanastory zao mixer vitisho.!
 
Mimi naamini zaidi utakavyo mjua Mungu ndio zaidi utakavyo ujua ukweli na kuwa huru zaidi. Lakini tulichofanya nikujua dini zaidi ya Mungu.

Kwa kuwa mashirika haya ya dini yanataka uzame ndani yao zaidi huku wakituambia bila wao hatutamfikia Mungu basi hawako tayari kukupa nafasi ya kuweza kujua na kutambua uwepo na ukweli wa Mungu.

We fikiria kiundani zaidi, kwa kuwa Mungu ni mmoja sasa kwa nini Mungu aabudiwe katika misingi tofauti na ya ajabu isio kuwa na umoja wa kumuabudu Mungu. Mashirika haya ya dini yanagawanya watu na kufundisha chuki dhidi ya wasio wa dini ya kufanana, hii ikiwa ni ishara ya kukosa umoja kwa Mungu tunaemini ni mmoja.

Kuna njia ya kumjua Mungu zaidi na ukweli kuhusu Mungu lakini umekuwa coiled in someway kwamba ukidadisi sana utalaaniwa na kukufuru. Sijui kama hii ni ukweli, lakini in some kinda of way nafikiri Mungu mwenyewe angependa tumtafute zaidi yeye kuliko jinsi tunavyoelekezwa na mashirika yetu ya dini.
Mungu atumie njia gani kutuambia?
 
Msanii wenu Harmonize ameshasema Mungu ni mwanamke,, sababu ya kusema hivyo kasema "NI KWA SABABU ANATAKA KUWAPA THAMANI WANAWAKE"

Nchi ina vichaa wengi sana hii lakini wanaookota makopo ni wachache. 🙌🏽 🙌🏽 🙌🏽
 
kwanin muumba anajinsia.? tatzo hatujawahi kukuona.
 
Mimi naamini zaidi utakavyo mjua Mungu ndio zaidi utakavyo ujua ukweli na kuwa huru zaidi. Lakini tulichofanya nikujua dini zaidi ya Mungu.

Kwa kuwa mashirika haya ya dini yanataka uzame ndani yao zaidi huku wakituambia bila wao hatutamfikia Mungu basi hawako tayari kukupa nafasi ya kuweza kujua na kutambua uwepo na ukweli wa Mungu.

We fikiria kiundani zaidi, kwa kuwa Mungu ni mmoja sasa kwa nini Mungu aabudiwe katika misingi tofauti na ya ajabu isio kuwa na umoja wa kumuabudu Mungu. Mashirika haya ya dini yanagawanya watu na kufundisha chuki dhidi ya wasio wa dini ya kufanana, hii ikiwa ni ishara ya kukosa umoja kwa Mungu tunaemini ni mmoja.

Kuna njia ya kumjua Mungu zaidi na ukweli kuhusu Mungu lakini umekuwa coiled in someway kwamba ukidadisi sana utalaaniwa na kukufuru. Sijui kama hii ni ukweli, lakini in some kinda of way nafikiri Mungu mwenyewe angependa tumtafute zaidi yeye kuliko jinsi tunavyoelekezwa na mashirika yetu ya dini.

View: https://x.com/TheHarrisSultan/status/1790342215841230869
 
Hasa dini hii

View: https://x.com/Thexmuslim/status/1790264954530238807
 
mungu anaturekodi sisi na kamera yake na anatu-zoom sisi jioni anarudia kutuangalia kwa ukaribu
 
Hivi kwanini watu wengi wanahisi Mungu yuko mmoja? Wamejuaje kuwa yuko mmoja na wamedhibitisha vipi? Je kama wapo wengi? Hapa duniani mimi naona tunalishana tu matangopori hakuna anayejua siri ya hii dunia! Tumejikuta duniani tutakufa tutaiacha ya mbeleni pia hatuyajui!
 
Je nifanye nini ili nimjue Mungu? Maana natamani kumjua nje ya dini
Mungu ni cheo cha kiumbe chenye nguvu dhidi ya viumbe wengine, mfano mbugani, simba anaweza kuwa Mungu wa wanyama, mtoni Mamba/kiboko anaweza kuwa Mungu wa maji ya mto,

Na katka jamii za watu/wanadamu mtu yeyote mwenye nguvu ya uchumi,elimu, ulinzi huyu anaweza kuitwa Mungu wa jamii, ama Mfalme/Rais nae ni Mungu wa Ngome/nchi anayoongoza.

Pia Baba/Mama ni Miungu wa Familia, bila kusahau wale watoto wanaowakimbiza madarasani wenzao kwa kukalili na kufaulu mitihani hawa ni Miungu shuleni.

Hivyo basi tafsiri ya Mungu nadhani umeipata na unapoongelea Mungu jua unaongelea Jambo pana, unatakiwa kutaja ni Mungu yupi kwa jina lipi unayemtaka ama unayetamani kumjua.

Usidanganywe na hizi dini kuwa Mungu ni mmoja huo ni uongo, Miungu ni wengi hawajawai kuwa pamoja wala kuwa mmoja, bali kuna watu wanaolazimisha mambo yao ndio yaonekane sahihi.

Uhalisia uko hivi, kama Mungu ni kiumbe je Dunia imeumbwaje? Ama nani kiongozi wa huu ulimwengu?

Hapa ndipo jibu lipo kuwa Dunia na ulimwengu imeundwa na MUUMBA ambaye si Mungu maana hana hizo sifa za viumbe, wala haexist/hapatikani katka malimwengu yanayokaliwa na viumbe iwe mwilini(ulimwengu wa watu&wanyama kimwili), ulimwengu wa nafsi(makazi ya Fahamu&nafsi za watu), ulimwengu wa Roho(makazi ya Roho za watu, mashetani, malaika,mapepo, Miungu) huko ndiko yaliko makazi ya Viumbe wote walioumbwa.

Kama Mbingu ziliumbwa je Muumbaji alikuwa wapi? Kama ulimwengu wa Roho uliumbwa je Muumbaji anawezaje kuishi ndani ya kitu alichokiumba? Na je kabla hajaumba hizi existing worlds yeye alikuwa wapi?

Jibu ni kuwa Muumba wa kweli hana hizo sifa za viumbe kama vile kuishi, kutamani, kukasirika, kula, kusikia, kutembea, kuongea, kuona wala kupumua hizo ni sifa za viumbe,

MUUMBA wa kweli kwa tafsiri sahihi tunaweza kusema kuwa HAYUPO kwa maana hapatikani katk ufahamu na uwepo wa ulimwengu wowote, hivyo basi hakuna namna yoyote ile ya yeye kuexist ktk maisha ya Viumbe isipokuwa tu kwa mapenzi yake ambayo yeye huyadhihirisha kupitia Nguvu za Asili ama wengine wanaziita kidini(ROHO MTAKATIFU) Hizi ni nguvu ambazo zinashare mapenzi ya Muumba kwa viumbe wake woote wa malimwengu yote kuanzia kiroho, kinafsi na kimwili,

Muumba wa kweli hakuna aliyewai kumuona na hakuna atakayemuona kwa sababu hapatikan ktk fahamu na makazi ya viumbe vyote, hivyo ili umfikie ama upate ujumbe wake ni kupitia mapenzi yake yanayodhihirishwa na Nguvu zake ambazo hizo nguvu si yeye bali kiunganishi chake na viumbe wote wa malimwengu yote.

Ili umuabudu na Kumjua MUUMBA wa kweli unahitaji Neno na mafundisho haswa na haombwi kama tulivyozoea kuomba hao Miungu wa hizo dini, maana kuna kanuni halisi za kuomba vitu halisi, hata kiuhalisia ili uwasiliane na fulani ktk simu yako ni lazima uwe na namba zake, salio na lugha&namna ya kuonga na huyo mtu, vivyo hivyo hata MUUMBA wa kweli anaabudiwa na kuombwa kwa kanunia na njia sahihi tu.

Na Muumba huyo ndiye aliyeabudiwa na Mababu zetu kabla ya hizi takataka ziitwazo dini hazijaja, ndiomaana hapo zamani matukio mengi makubwa na yakustaajabishwa yalitendwa na babu zetu ambayo wazungu waliita uchawi kama vile, ujenzi wa mapyramids, ujenzi wa majengo ya kifahari, usafiri wa Anga, Kusimamisha mvua,kushusha mvua, umeme wa asili, Tiba za magonjwa, Tiba za kiroho, kuwasiliana na Viumbe wa Rohoni, ambao hao wazungu wanawaita Aliens na wanadanganya kuwa wao wamefanikiwa kuwapata aliens huku wakitumia muvies na stories za uongo.

Ili utimize mapenzi ya Muumba wa kweli unatakiwa kuachana na mifumo ya imani za kidini, achana na mambo ya hovyo kama vile ushirikina, roho mbaya, husda, kuwatendea wengine maovu, ubinafsi, kuwafanyia ukatili wanyama&mimea, Kuukataa Utu wako, haswa wanawake wanaobadiri mionekano yao, kuikataa ama kuitusi Ardhi ya Afrika, kuidharau Rangi nyeusi/watu weusi, kuukataa utamaduni wa waafrika, kuwatusi mababu zako waliopambana dhidi ya udhalimu wa watu weupe, kushikilia tamaduni na mifumo ya watu weupe.

Ili utende maajabu waliyoyafanya mababu zetu kuna kanuni ambazo lazima uishirikishe ASILI ambayo ndio chanzo cha maisha duniani, ASILI ambayo inatenda Miujiza na nguvu kwa mbadala wa Muumba, hakuna siku Muumba ataongea na wewe haiwezekan na haitowezekana, njia pekee ni kupitia ushirika wako na ASILI/NGUVU ZAKE/ROHO WAKE Ambaye si MUUMBA bali connector wa viumbe na yeye MUUMBAJi.

MUUMBAJI hawezi kuingia ktk dunia wala hiyo wanayoita Mbingu maana hatoshei wala haenei wala uwepo wa nguvu zake hautoshi kustahimili kwa uhai wetu, hivyo njia salama ya sisi ni kuwasiliana nae kupitia Nguvu za Asili na wajumbe wake kama vile BABU zetu weusi ambao dini zenu zinawaita malaika, achana na ile mnayoita Mizimu bali hawa ni mababu watakatifu.

Fuata hayo mambo na utamjua Muumba wa kweli, achana na hayo mashetani yanayoabudiwa na hizo dini za ukristo&uislam utapoteza muda bure.
 
Hivi kwanini watu wengi wanahisi Mungu yuko mmoja? Wamejuaje kuwa yuko mmoja na wamedhibitisha vipi? Je kama wapo wengi? Hapa duniani mimi naona tunalishana tu matangopori hakuna anayejua siri ya hii dunia! Tumejikuta duniani tutakufa tutaiacha ya mbeleni pia hatuyajui!
Mungu si mmoja na hajawai kuwa mmoja, watu wa dini wanaidanganya sana jamii.

Kuna maelfu ya miungu na kati yao hakuna hata mmoja aliye sahihi, kila mmoja anavutia upande wake uonekane sahihi.
 
Mimi naamini zaidi utakavyo mjua Mungu ndio zaidi utakavyo ujua ukweli na kuwa huru zaidi. Lakini tulichofanya nikujua dini zaidi ya Mungu.

Kwa kuwa mashirika haya ya dini yanataka uzame ndani yao zaidi huku wakituambia bila wao hatutamfikia Mungu basi hawako tayari kukupa nafasi ya kuweza kujua na kutambua uwepo na ukweli wa Mungu.

We fikiria kiundani zaidi, kwa kuwa Mungu ni mmoja sasa kwa nini Mungu aabudiwe katika misingi tofauti na ya ajabu isio kuwa na umoja wa kumuabudu Mungu. Mashirika haya ya dini yanagawanya watu na kufundisha chuki dhidi ya wasio wa dini ya kufanana, hii ikiwa ni ishara ya kukosa umoja kwa Mungu tunaemini ni mmoja.

Kuna njia ya kumjua Mungu zaidi na ukweli kuhusu Mungu lakini umekuwa coiled in someway kwamba ukidadisi sana utalaaniwa na kukufuru. Sijui kama hii ni ukweli, lakini in some kinda of way nafikiri Mungu mwenyewe angependa tumtafute zaidi yeye kuliko jinsi tunavyoelekezwa na mashirika yetu ya dini.
Dini ni moja tu, Uislam.
 
Mungu ni cheo cha kiumbe chenye nguvu dhidi ya viumbe wengine, mfano mbugani, simba anaweza kuwa Mungu wa wanyama, mtoni Mamba/kiboko anaweza kuwa Mungu wa maji ya mto,

Na katka jamii za watu/wanadamu mtu yeyote mwenye nguvu ya uchumi,elimu, ulinzi huyu anaweza kuitwa Mungu wa jamii, ama Mfalme/Rais nae ni Mungu wa Ngome/nchi anayoongoza.

Pia Baba/Mama ni Miungu wa Familia, bila kusahau wale watoto wanaowakimbiza madarasani wenzao kwa kukalili na kufaulu mitihani hawa ni Miungu shuleni.

Hivyo basi tafsiri ya Mungu nadhani umeipata na unapoongelea Mungu jua unaongelea Jambo pana, unatakiwa kutaja ni Mungu yupi kwa jina lipi unayemtaka ama unayetamani kumjua.

Usidanganywe na hizi dini kuwa Mungu ni mmoja huo ni uongo, Miungu ni wengi hawajawai kuwa pamoja wala kuwa mmoja, bali kuna watu wanaolazimisha mambo yao ndio yaonekane sahihi.

Uhalisia uko hivi, kama Mungu ni kiumbe je Dunia imeumbwaje? Ama nani kiongozi wa huu ulimwengu?

Hapa ndipo jibu lipo kuwa Dunia na ulimwengu imeundwa na MUUMBA ambaye si Mungu maana hana hizo sifa za viumbe, wala haexist/hapatikani katka malimwengu yanayokaliwa na viumbe iwe mwilini(ulimwengu wa watu&wanyama kimwili), ulimwengu wa nafsi(makazi ya Fahamu&nafsi za watu), ulimwengu wa Roho(makazi ya Roho za watu, mashetani, malaika,mapepo, Miungu) huko ndiko yaliko makazi ya Viumbe wote walioumbwa.

Kama Mbingu ziliumbwa je Muumbaji alikuwa wapi? Kama ulimwengu wa Roho uliumbwa je Muumbaji anawezaje kuishi ndani ya kitu alichokiumba? Na je kabla hajaumba hizi existing worlds yeye alikuwa wapi?

Jibu ni kuwa Muumba wa kweli hana hizo sifa za viumbe kama vile kuishi, kutamani, kukasirika, kula, kusikia, kutembea, kuongea, kuona wala kupumua hizo ni sifa za viumbe,

MUUMBA wa kweli kwa tafsiri sahihi tunaweza kusema kuwa HAYUPO kwa maana hapatikani katk ufahamu na uwepo wa ulimwengu wowote, hivyo basi hakuna namna yoyote ile ya yeye kuexist ktk maisha ya Viumbe isipokuwa tu kwa mapenzi yake ambayo yeye huyadhihirisha kupitia Nguvu za Asili ama wengine wanaziita kidini(ROHO MTAKATIFU) Hizi ni nguvu ambazo zinashare mapenzi ya Muumba kwa viumbe wake woote wa malimwengu yote kuanzia kiroho, kinafsi na kimwili,

Muumba wa kweli hakuna aliyewai kumuona na hakuna atakayemuona kwa sababu hapatikan ktk fahamu na makazi ya viumbe vyote, hivyo ili umfikie ama upate ujumbe wake ni kupitia mapenzi yake yanayodhihirishwa na Nguvu zake ambazo hizo nguvu si yeye bali kiunganishi chake na viumbe wote wa malimwengu yote.

Ili umuabudu na Kumjua MUUMBA wa kweli unahitaji Neno na mafundisho haswa na haombwi kama tulivyozoea kuomba hao Miungu wa hizo dini, maana kuna kanuni halisi za kuomba vitu halisi, hata kiuhalisia ili uwasiliane na fulani ktk simu yako ni lazima uwe na namba zake, salio na lugha&namna ya kuonga na huyo mtu, vivyo hivyo hata MUUMBA wa kweli anaabudiwa na kuombwa kwa kanunia na njia sahihi tu.

Na Muumba huyo ndiye aliyeabudiwa na Mababu zetu kabla ya hizi takataka ziitwazo dini hazijaja, ndiomaana hapo zamani matukio mengi makubwa na yakustaajabishwa yalitendwa na babu zetu ambayo wazungu waliita uchawi kama vile, ujenzi wa mapyramids, ujenzi wa majengo ya kifahari, usafiri wa Anga, Kusimamisha mvua,kushusha mvua, umeme wa asili, Tiba za magonjwa, Tiba za kiroho, kuwasiliana na Viumbe wa Rohoni, ambao hao wazungu wanawaita Aliens na wanadanganya kuwa wao wamefanikiwa kuwapata aliens huku wakitumia muvies na stories za uongo.

Ili utimize mapenzi ya Muumba wa kweli unatakiwa kuachana na mifumo ya imani za kidini, achana na mambo ya hovyo kama vile ushirikina, roho mbaya, husda, kuwatendea wengine maovu, ubinafsi, kuwafanyia ukatili wanyama&mimea, Kuukataa Utu wako, haswa wanawake wanaobadiri mionekano yao, kuikataa ama kuitusi Ardhi ya Afrika, kuidharau Rangi nyeusi/watu weusi, kuukataa utamaduni wa waafrika, kuwatusi mababu zako waliopambana dhidi ya udhalimu wa watu weupe, kushikilia tamaduni na mifumo ya watu weupe.

Ili utende maajabu waliyoyafanya mababu zetu kuna kanuni ambazo lazima uishirikishe ASILI ambayo ndio chanzo cha maisha duniani, ASILI ambayo inatenda Miujiza na nguvu kwa mbadala wa Muumba, hakuna siku Muumba ataongea na wewe haiwezekan na haitowezekana, njia pekee ni kupitia ushirika wako na ASILI/NGUVU ZAKE/ROHO WAKE Ambaye si MUUMBA bali connector wa viumbe na yeye MUUMBAJi.

MUUMBAJI hawezi kuingia ktk dunia wala hiyo wanayoita Mbingu maana hatoshei wala haenei wala uwepo wa nguvu zake hautoshi kustahimili kwa uhai wetu, hivyo njia salama ya sisi ni kuwasiliana nae kupitia Nguvu za Asili na wajumbe wake kama vile BABU zetu weusi ambao dini zenu zinawaita malaika, achana na ile mnayoita Mizimu bali hawa ni mababu watakatifu.

Fuata hayo mambo na utamjua Muumba wa kweli, achana na hayo mashetani yanayoabudiwa na hizo dini za ukristo&uislam utapoteza muda bure.
Daa Asante sana yaani nilitamani niendelee kusoma tu, una ufahahamu wa juu sana kiongozi. Natamani nipate madini zaidi toka kwako
 
Back
Top Bottom