Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Kampuni ya kichina iliyowekeza kwenye mradi huu imemaliza upembuzi. Inatarajia kuanza kazi serious mwishoni mwa mwaka huu.
Mchuchuma kuna makaa ya mawe tani milioni 428. Mradi unategemea kuzalisha tani milioni 3 kwa mwaka na kuwa na mradi wa umeme wa makaa wa 600MW
Huko Liganga kuna madini chuma tani milioni 126. Wanatarajia kuchimba tani milioni 2.9 kwa mwaka na kuzalisha steel tani 1.1m kwa mwaka. Mahitaji yetu ya steel kwa sasa kwa mwaka yanasemwa ni tani 600,000.
Huu ni mradi wa maana sana kwa nchi. Hope utaanza kazi na watanzania tutapata hicho chuma huku mtaani ili finally tujitengenezee sindano na vijiko. Da Pipi nishushe.