Label ya WCB imeshuka kiuwezo, baada ya Harmonize kutoka imebaki na wasanii local

Nakubaliana na kichwa cha 'uzi' ila content iliyomo ndani inanipa ukakasi.
 
mkuu umezungumza kiushabiki sana, kiujumla industry ya bongo flava imeshuka kidogo na wcb pekee....
mwangalie hata kondoo boy alivogeuka muuza machupa huku akijidanganya ni balozi wa twist...
hao wengine akina kingi vibakuli, sahani, sinia na vyombo kwa ujumla ndo kabisa hawana mbele wala nyuma bora hata wasafi japo wanampito lakini wanaonekana
 
Nawashangaaga watu wanao mlinganisha Harmonize na Rayvan wakati rayvan hajamzidi kitu barnaba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kitu gani followers ,streams spotify,subscribers youtube,viewers,hit song na kujulikana abroad au BET awards ambaye ni msanii anayefuatia baada y diamond au unamuongelea rayvanny gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo jina silakwake na ndo maana ni diamond na wengine watembelee majina yaani unajikoroga na kujinywa we jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kumfuatilia Harmonize pia katika video tatu alizotoa hivi karibuni kupitia You tube hakuna ngoma iliyofika views milioni moja mpaka sasa tofauti na zamani zilikua zinagonga fasta!

Hata ukuangalia hujanikomoa ina siku tatu ina views 500,000+ na Rayvanny Teamo imetoka Jana nayo ina 500,000+ wamepishana kidogo sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mda si mrefu Teamo itafika 600000 views, hku kede boy akibaki pale pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka sasa breakup ya WCB na Harmo kwangu naiona kama iko kwenye lose lose situation.

WCB siyo wale tena waliokuwa na Harmo, na Harmo siyo yule tena aliyekuwa WCB.

Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.
 
Mpaka sasa breakup ya WCB na Harmo kwangu naiona kama iko kwenye lose lose situation.

WCB siyo wale tena waliokuwa na Harmo, na Harmo siyo yule tena aliyekuwa WCB.

Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.
Yah

kelphin kepph
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…