Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harmonize kaanza kuwa Rajabu😁😁Yaani show za TWIST ndo mnatamba hivi?[emoji3][emoji3][emoji3], Nasikia msanii wenu kaanza kuimba singeli[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unamfananisha classic boy na huyo rayvanny kweli? Barnaba ana jua sanaNawashangaaga watu wanao mlinganisha Harmonize na Rayvan wakati rayvan hajamzidi kitu barnaba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaecheka ushuzi unapita nae ni Mwanaume?Kuwa na wanaume sirika yako ni kupoteza heshima yetu kama wanaume...haya komaeni na michiriku yenu..
Sent using Jamii Forums mobile app
nilitereza tu mkubwa samahani sana.Mkuu unamfananisha classic boy na huyo rayvanny kweli? Barnaba ana jua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo mna manenoooYaani show za TWIST ndo mnatamba hivi?[emoji3][emoji3][emoji3], Nasikia msanii wenu kaanza kuimba singeli[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kitu gani followers ,streams spotify,subscribers youtube,viewers,hit song na kujulikana abroad au BET awards ambaye ni msanii anayefuatia baada y diamond au unamuongelea rayvanny gani?Nawashangaaga watu wanao mlinganisha Harmonize na Rayvan wakati rayvan hajamzidi kitu barnaba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo jina silakwake na ndo maana ni diamond na wengine watembelee majina yaani unajikoroga na kujinywa we jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu Jikite kwenye mada Naongelea label ya Wcb au Diamond hawakilishi Wcb? Label iko hoi Hata uyo Diamond kwa sasa anatembelea Jina hana jipya,.
Huko kwenye matamasha ya kualikwa ni kawaida, maana hata kule kigoma alikusanya rundo la wasanii mwisho wa siku akajipa sifa mwenyewe
Nimejaribu kumfuatilia Harmonize pia katika video tatu alizotoa hivi karibuni kupitia You tube hakuna ngoma iliyofika views milioni moja mpaka sasa tofauti na zamani zilikua zinagonga fasta!
Hata ukuangalia hujanikomoa ina siku tatu ina views 500,000+ na Rayvanny Teamo imetoka Jana nayo ina 500,000+ wamepishana kidogo sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndicho nilichokisema kwenye comment ya juu hapo,wanatofautiana kidogo sana ukizingatia ya Harmonize ina siku tatu na ya Rayvanny ina siku moja
😃😃😃Mkuu Jikite kwenye mada Naongelea label ya Wcb au Diamond hawakilishi Wcb? Label iko hoi Hata uyo Diamond kwa sasa anatembelea Jina hana jipya,.
Huko kwenye matamasha ya kualikwa ni kawaida, maana hata kule kigoma alikusanya rundo la wasanii mwisho wa siku akajipa sifa mwenyewe
Mda si mrefu Teamo itafika 600000 views, hku kede boy akibaki pale paleNimejaribu kumfuatilia Harmonize pia katika video tatu alizotoa hivi karibuni kupitia You tube hakuna ngoma iliyofika views milioni moja mpaka sasa tofauti na zamani zilikua zinagonga fasta!
Hata ukuangalia hujanikomoa ina siku tatu ina views 500,000+ na Rayvanny Teamo imetoka Jana nayo ina 500,000+ wamepishana kidogo sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
YahMpaka sasa breakup ya WCB na Harmo kwangu naiona kama iko kwenye lose lose situation.
WCB siyo wale tena waliokuwa na Harmo, na Harmo siyo yule tena aliyekuwa WCB.
Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.