FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kunywa Mo Energy hakika utanitafuta kunishukuruMaji ya Kilimanjaro hapo awali hayakuwa na ladha ya chumvi, ila haya ya siku hizi hili tatizo limekuwa sugu, nini sababu ya haya maji kuwa na ladha ya chumvi chumvi? Na ukikagua packaginh yanaonekana ni authentic kabisa, sio fake..
nimewaza mbali sanachumvi,
Haaahaaaaaa kwa speed of light naona unaelekea kwenye blackholenimewaza mbali sana
🤣 bibie B kaniharibu ubongo 🤣 🤣 🤣Haaahaaaaaa kwa speed of light naona unaelekea kwenye blackhole
Mfano.....Hayo maji kuna wahuni wanayachakachua hapa dar kwa kutumia chupa za kilimanjaro
Nunua kwenye maduka yanaoeleweka
nami nimekutana na hii kitu kama mara mbili mpaka nikawa najiuliza ni salama?Hiyo kampuni toka mwenyewe afe maji yakawa adimu, kama ni kweli pia unasema yamekuwa na chumvi huenda sababu mwenyewe hayupo
Ni kama kampuni inahujumiwa,imagine kampuni ipo toka miakq ya 90 alafu ghafla tu supply iwe chini
Bei tu ingekushtua....Juzi nimenunua packet ya Lita Moja pieces 6 Kwa 2,500/- nilichoka sana! Packaging sawa ila ndani Yana chumvi!! Na Kuna ambayo ya nusu Lita nanunua 5500 yenyewe yapo poa!! Kuna tatizo kubwa
Hayo maji yatakuwa fake, kuweni makini sana,hata K vant nasikia zipo fakenami nimekutana na hii kitu kama mara mbili mpaka nikawa najiuliza ni salama?
Sio kweli, hata ukinunua kwenye depot zao bado yana uchumvi chumvi.Hayo maji kuna wahuni wanayachakachua hapa dar kwa kutumia chupa za kilimanjaro
Nunua kwenye maduka yanaoeleweka