FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #61
Watengenezaji wa maji ya Kilimanjaro acheni kuyachakachua, mnaua brand yenu
Ni nani mwekezaji kwenye hii kampuni ya Kilimanjaro wakuu maana anauwa soko lake bila yeye kutambua miaka ya nyuma kidogo hii kampuni maji yake mtu wa kawaida ukinywa basi. Unajiweza lakini sijui Nini kimewakuta maji yao ni machachu hafadhali maji ya kisima au Bomba. Yani nakunywa maji yao si...