Ladha ya chumvi kwenye maji ya Kilimanjaro inasababishwa na nini?

 
Dasani ni maji mazuri Sana Kilimanjaro ilikua zamani
Ila hii Kilimanjaro mbona naona ina nembo ya Coca-Cola. Swali nani anamiliki hii kampuni kwa sasa. Na Dasani si ni walewale. Waonaje kama wanataka kuiuia brand hiyo ili kuikuza Iie?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…