Ladies kama mpenzi wako hana pesa solution ni kutafuta kazi sio mpenzi mpya

Mkuu

extrovet
Unajua maongezi yaliyo endelea pale bustani ya Edeni kati ya hawa na nyoka?
Baada ya kula tunda.

Ni ngumu kupata hili jibu kutoka kwa wadada zaidi utaona wengi wanakupa majibu ambayo wao wenyewe wanajua yatakufariji tu

Kuhusu hicho kipengele cha wanawake kupenda pesa,kwakweli wanaume ni uchunguzi mtakaokesha mkichunguza msipate jibu

Mi mwenyewe nawashangaa wanawake whyyyyy?????
 
Natafuta mpenzi mpya.. Bwanangu tuliachana baada ya kupunguzwa kazini.. Alie interested aje pm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kama unaogopa kuachwa na kupata maumivu jitahidi uwe na mademu kama 3 au zaidi ukikuacha moja wala hata huwazi unakuwa normal cz waliobakia wanakupa faraja.
 
Binafsi hata mwanaume akiwa na pesa sipendi kujibweteka lazima niwe nashughuli ya kufanya. Kwahyo hata yeye akiwa Hana Mimi sikosi hela ya mboga!
Hongera sana chaurembo umejipambanua vizuri kuwa sio wale yatima, btw i like ur Avatar uko musupa!
 
kama unaogopa kuachwa na kupata maumivu jitahidi uwe na mademu kama 3 au zaidi ukikuacha moja wala hata huwazi unakuwa normal cz waliobakia wanakupa faraja.View attachment 933138
Hahahahaah hii kitu ilinchekesha sana siku ya kwanza kuiona hahahaha!!! Kiukweli unachosema ni sahihi maana kuwa na mademu wa ziada ni kama cushion endapo mambo yakiwa hayako upande wako! Hii mbinu wahuni ndio tunaitumia sikuhizi halafu inasaidia sana kukufanya uwe na msimamo thabiti si mtu wa kuburuzwa buruzwa!
 
Kuna siku nipo kwenye gari ya rafiki yake na mama yangu, ana miaka kama 70 hiv huyo mama, sasa wakawa wanapiga stori.....iyo story ikawa inamhusu binti ambaye kaachana na mme wake...kaenda kwa msera mwingine, nilimsikia huyu mama akisema"na sisi wanawake kwa kupenda hela'"......... nilisikitika tu.nikajisemea kitu hela kwa mwanamke[emoji23][emoji23]
 
Aisee ni kweli unachoeleza. Wapenz wahamaji. Hawa wako kwa mtu sababu wanapatakitu na si kwa sababu ya upendo. Fulia kidogo ndio utaelewa maana yake.

Binafsi nimekutana nao sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…