Ladies kama mpenzi wako hana pesa solution ni kutafuta kazi sio mpenzi mpya

Hahahaha hebu ondoa kichaa chako wewe aggyjay
 
mkuu kuna kitu tulifichwa na EVA alichoambiwa kuhusu pesa maana si kwa mwendo huu..
Inabidi kufukunyua vyema mistari ya bible huenda pale "MWANZO" kuna jambo haliko wazi katika story ya EVA na nyoka
 
Hahahaha nahela lakin loh hapana. Nikufulia utaenda kwa mwingine tena
 
Mwanaume msaidie mwenza wako kupata kazi/shughuli itakayompa kipato wskati mambo yako yapo vizuri, ukisubiria hadi mambo yaende mrama ukubali matokeo tu.
Kwani ukimfungulia biashara ndio kwamba hatokuacha ukikosa kazi mkuu, hebu siku jaribu kutumbuliwa uone huyo anaekuita honey leo atakavyobadilika na kuwa kitu cha ajabu ambacho hujawahi hata dhania!
 
Ole wako uoneshe dalili kuwa huna, utashangaa na macho yako mapenzi yalivyo machungu!
Hahaha ninae mmoja nilijifanya nimefulia. Alaanza kupunguza mapenz. Alipokuja kugundua kuwa ni uwongo... akarudi wka kasi nakuanza kunipa love wakat alienda hadi kwa mwanaume mwingine. tena aka mpost whatsapp.
Sahiv kaachika basi ananisumbua nisaidie pesa... anaomba vibaya mno.. hana haya
 
Kwamba hao ni wapenzi wasio na nia ya dhati ya mapenzi,,hahah tatizo huwezi kuwajua kirahisi hasa kipindi ukiwa mambo safi, we unashauri wapenzi wafanyaje mambo yakiwa alijojo? Je ni sahihi kukimbiana kweli?
 
Kadri ulivyomwaproach ndivyo utakavyobwagwa pindi kile ulichotumia hakipo
Kwahio ni bora ku approach kisakara tu, ila je utampata mtoto mzuri kweli kwa design hio yakutongoza ukiwa mkono mtupu story nyingi?
 
Hahaha huyo mshamba kashafeli pepa 1! Mwache atubu tu sasa, kama unaweza kumpa na kumtumia kama kijamvi cha wageni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…