Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Mimi navutiwa sana na Extrovert.

Kiukweli yule kaka ananichanganyaga komwe langu mie Bichwa jamanii, imefika hatua mpaka tumeingia kwenye uchumba sugu na tunatarajia kufunga ndoa takatifu ya kikatoliki kwenye kanisa la ST PETERS mwezi ujao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaa mbavu sina wallah.
 
Back
Top Bottom