Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka huu mziki auzime nani? Kwenye ule uzi wa Ghetto, Ile comment yako ilileta tafrani ujue.

Nikiachwaa jee? Wee huogopiiii?
Udugu acha kumbania mwenzio 🀣🀣🀣
Mtaje shem wa dunia basi
 
Ni weweee fidodido!! Hujatajwaa had muda huu, kuwa unapendwa na mie tyuuh au natapeliwa?? Mbona sitaki kuamini kabisaaa.

Aaaah wee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nani ERoni ?huyo mbona wa Atoto Mimi tulishindwana Kwa ajili ya upare wake ni mbahili sijapata ona!saa hivi Ninae wa Nyanda za juu kusini nimemficha maana Kuna new comer anaitwa cacutee anamsarandia
Uongo 🀣🀣🀣🀣
Unavyomuelewa yule jamaa sasa!! Basi mtaje kaka angu G 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…