Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Jadda wapi nimefanya hivo labda wanawake wanaoshabikia simba tu
Hapana namaanisha wanawake kwa ujumla tena unakuwaga serious kabisa mpaka nakushangaaga, kuna siku nilikuuliza siku hizi umekuja kuwaje unakumbuka ulinijibu nini, yani binafsi mwanaume akishakuwa misogynist na kuanza kutukana au kudharau wanawake huwa namuona kama muuaji
 
Back
Top Bottom