π€£π€£π€£π€£Basi baridi, ila mention 3, ngoja nika ongeeni na mwanga wanguππ€£
Utateseka sana π€£π€£π€£Sawaaaa π π
Hujambo binti πMarufuku
Joanah umeshindwa kunitaja !!!! Sijapendaπ
Hata mie sikutaki tena, sijazoea kula kwa kupangiwa.π€£π€£π€£π€£ mpare kama mpare!! Hata mimi simtaki tena.
Soma tena uzi kwa makini π€£π€£π€£Zingatia title ya Uzi π€£π€£ππ
Wewe umtaje yule bana π€£π€£π€£Angekuwepo ningemtaja chaap kwa haraka ππππ. Au kuna ulieona ananifaa nijiweke shoga angu?
Nipo hapa stend nakuja huko huko kumtimua huyo wifi mpya, haiwezekani kaka angu awe namna hiii.Aya kumekucha achia kitanda ukasake utajiri
Sijambo sana,nilitaka nikutaje nikasema mmmh hapa itatokea vita ya tatu ya DuniaπππHujambo binti π
Sawa labda kubeba mizigo kwa machine πππHahahahaha..atakuongeza cheo
π€£π€£π€£π€£π€£ Heee umeamua kama mbwai mbwai?Hata mimi nimeanza upya, nishasema kama Ke hanipi nikashiba simpi hata mia yangu.
Hata wewe sikutaki tena japo mtam, kwani kuanza upya bei gani.π€£π€£π€£π€£π€£ Heee umeamua kama mbwai mbwai?
Nimekumis sana kwenye vile vinywaji vyetu π πSijambo sana,nilitaka nikutaje nikasema mmmh hapa itatokea vita ya tatu ya Duniaπππ
Hahahahaha...kuwasimamia wabeba mizigoSawa labda kubeba mizigo kwa machine πππ
πππ akiondoka utaweza kunipa anachonipa?Nipo hapa stend nakuja huko huko kumtimua huyo wifi mpya, haiwezekani kaka angu awe namna hiii.
ππππππ
Hahahahaha...unaacha utam ?Hata wewe sikutaki tena japo mtam, kwani kuanza upya bei gani.
Hawajui hilo km kuna muda tuko zone tofauti π€£π€£π€£Tatizo watanzania wakikuona uko macho wanajua ni usiku hawajui watu tuna different area codeππππ