Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣🤣Basi baridi, ila mention 3, ngoja nika ongeeni na mwanga wangu😁🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Basi baridi, ila mention 3, ngoja nika ongeeni na mwanga wangu😁🤣
Utateseka sana 🤣🤣🤣Sawaaaa 😅😂
Hujambo binti 😀Marufuku
Joanah umeshindwa kunitaja !!!! Sijapenda🙂
Hata mie sikutaki tena, sijazoea kula kwa kupangiwa.🤣🤣🤣🤣 mpare kama mpare!! Hata mimi simtaki tena.
Soma tena uzi kwa makini 🤣🤣🤣Zingatia title ya Uzi 🤣🤣🏃🏃
Wewe umtaje yule bana 🤣🤣🤣Angekuwepo ningemtaja chaap kwa haraka 😂😂😂😂. Au kuna ulieona ananifaa nijiweke shoga angu?
Nipo hapa stend nakuja huko huko kumtimua huyo wifi mpya, haiwezekani kaka angu awe namna hiii.Aya kumekucha achia kitanda ukasake utajiri
Sijambo sana,nilitaka nikutaje nikasema mmmh hapa itatokea vita ya tatu ya Dunia😂😂😂Hujambo binti 😀
Sawa labda kubeba mizigo kwa machine 😂😂😂Hahahahaha..atakuongeza cheo
🤣🤣🤣🤣🤣 Heee umeamua kama mbwai mbwai?Hata mimi nimeanza upya, nishasema kama Ke hanipi nikashiba simpi hata mia yangu.
Hata wewe sikutaki tena japo mtam, kwani kuanza upya bei gani.🤣🤣🤣🤣🤣 Heee umeamua kama mbwai mbwai?
Nimekumis sana kwenye vile vinywaji vyetu 😀 😀Sijambo sana,nilitaka nikutaje nikasema mmmh hapa itatokea vita ya tatu ya Dunia😂😂😂
Hahahahaha...kuwasimamia wabeba mizigoSawa labda kubeba mizigo kwa machine 😂😂😂
😀😀😀 akiondoka utaweza kunipa anachonipa?Nipo hapa stend nakuja huko huko kumtimua huyo wifi mpya, haiwezekani kaka angu awe namna hiii.
😂😂😂😂😂😂

Hahahahaha...unaacha utam ?Hata wewe sikutaki tena japo mtam, kwani kuanza upya bei gani.
Hawajui hilo km kuna muda tuko zone tofauti 🤣🤣🤣Tatizo watanzania wakikuona uko macho wanajua ni usiku hawajui watu tuna different area code😁😁😁😜