Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hilo utalipata muda wowote hadi uchoke unipe likizoUjue mimi ni liiishangaziiii hekaheka ya ugomvi jukwaani kugombania hogoo siwezi😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo utalipata muda wowote hadi uchoke unipe likizoUjue mimi ni liiishangaziiii hekaheka ya ugomvi jukwaani kugombania hogoo siwezi😁😁😁
Anakua anakuimbia wimbo Gani?Ewaaa, hapo unakuta na kuimba anaimba. Utake nini tena hapo? 😅😅
🤣🤣🤣🤣 mbaga acha mambo yako kwahiyo na ww wa daraja mbiliArusha unakaa maeneo gn.?
mm nimezaliwa daraja mbili na ndiko nilipokulia huko ila sasa niko Dar.
Khaaaa, siwezi...kuchugulia papa siwezi!!!🤣
🤣🤣🤣🤣 nasubiri waingie kwenye mfumoWewe tena hapo una kibiriti na gesi unatafuta pa kuwasha😁😁
Hahahahaha..mambo hadharaniPM kufanyaje tena mama? Huko pm ndio shida huwa zinaanzia, tunapasuana hapahapa yanaishia jukwani🤣
Kwa hiyo huyo Mzee atazipanga hapahapa jukwaani?duuuh hatari😂😂😂PM kufanyaje tena mama? Huko pm ndio shida huwa zinaanzia, tunapasuana hapahapa yanaishia jukwani🤣
Wewe wa chuga hafu mpare mwenzio ujue sema kamix 🤣🤣🤣🤣Endelea kunichachua uone, sie wazee wa mjini hatuna aibu, shauri yako. Kwanza umesema upo na raia ya chugga, hivi kweli?...chugga?...wala miraa? Phew!
Ila Mungu wa ajabu sana ukute hapi jamaa anahisi kama karatasi iko juu yake😁😁😁
Kweli sasa natangaza kwamba mimi ndo Ma mjengo 😁Hilo utalipata muda wowote hadi uchoke unipe likizo
🤣🤣🤣🤣 basi simtaki mimi na wapare hapana labda km kamixMbaga ni wapare mdogo wangu kimbia fasta utakula ugali na picha ya makange
🤣🤣🤣Hivi unavutaga bange?Wewe wa chuga hafu mpare mwenzio ujue sema kamix 🤣🤣🤣🤣
Jamaa anayaweza kweli sio utani sijui kafunga injini ya lori..!!
🤣🤣 shangazi akaona akurushie michangaMi namchokozaga Huwa natilia mashaka sana zile chat zake so Huwa nagunaguna mmmh mbona kma unajitekenyaaaa mmmmh nilirukiwa😂
Ila shemdarling si mpare yule😅😅😅?🤣🤣🤣🤣 basi simtaki mimi na wapare hapana labda km kamix
Umeanza 🤣🤣🤣🤣Huyo mke wa Mtu achana nae....mchukue Unique Flower
Angekuwa hana mixer ya mpare ningekuambia tu huna mambo, wapare wanakimbizana na wangoni🤣🤣🤣we endelea na chugaa wako huko.Wewe wa chuga hafu mpare mwenzio ujue sema kamix 🤣🤣🤣🤣
Jamaa anayaweza kweli sio utani sijui kafunga injini ya lori..!!
Watu8 kasema hapo juu eti mashangazi Hadi tuchemshiwe maji ya moto ndio tupate joto mi nikazooom tu nikasema hiiiiiiiiiii huyu siku akinasa Kwa mshangazi Mmoja atajua alichelewa kujua
🤣🤣🤣Hivi unavutaga bange?