Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
😅😅😅Hahahahaha...shangazi kungwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅Hahahahaha...shangazi kungwi
Ni mbege hiyo, Wala sio kingine 😂Umechanganya Ciroc na jaigermaster sio?acha kujifanya mkemia asubuhi subuhi🙆🙆😛😛😛😆😆
Yes ila ndo kwa sasa sipo huko, ila ndipo nilipozaliwa.🤣🤣🤣🤣 mbaga acha mambo yako kwahiyo na ww wa daraja mbili
🤣🤣🤣🤣Kwani tunaruhusiwa kutaja Hadi ma ex?😂😂 hujataja wako
Nifukue comments zake nione kama vitu vinahusiana. Au unataja taja tu mibaba ya watu
Mbege Gani kichwa kinakuwa race hivyo?Ni mbege hiyo, Wala sio kingine 😂
🤣🤣🤣🤣🤣 dada sio mimi ni haya maji niliyokunywaUmechanganya Ciroc na jaigermaster sio?acha kujifanya mkemia asubuhi subuhi🙆🙆😛😛😛😆😆
Hii mbona tunafanya hata sisi under 40 Sema kama hakufanyii hivi hakupendi 😅Sema mishangazi huwa inaweza shughuli na kudekeza...
Itakuwa hizi ndio mambo kina Analyse wanavutiwa nayo...
Hii comment bila picha hutaielewa 😉
View attachment 2971771
Mwili utaukanda ukirudi home 😅Ila Mungu wa ajabu sana ukute hapi jamaa anahisi kama karatasi iko juu yake😁😁😁
Sitaki nimekataaKwa upande wa mabinti, nimeacha nafasi special kwa ajili yako 😍
Kojoa 🤣🤣🤣🤣Hii post inasisimua, imeamsha maruani yangu.
Eeeh unahangaika nazo🤣Imagine mtu unachezea zile kilo 79...hahaha sipati picha🤣🤣🤣🤣
Utakuja uvunjike shauri yako 🤣🤣🤣Tatizo wengi hawaijui siri ya mchezo. Na mpaka nikiachana na mashangazi nitakuwa na experience ya kutosha ya namna nzuri ya kuzichakata 😅😅
Hii mbona tunafanya hata sisi under 40 Sema kama hakufanyii hivi hakupendi 😅
JidanganyeeeNyie mmechoka, hadi mpashwe ni leo?🤣🤣
Mbona Kwa msisitizo sana🤣?Sitaki nimekataa
Kila rika Lina mashangazi wake mkuu. Alafu kitu unachotakiwa kukifuta kichwani, shangazi sio lazima awe mnene au tipwa tipwa. Wapi ambao ni portable tuUmri wa shangazi niaje?
Aweee kwani naniii amekuacha??? 🤣🤣🤣Naomba uniteke, nitakuja beseni kama hilo kabisa...
🤣🤣🤣🤣Kwani tunaruhusiwa kutaja Hadi ma ex?