Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Siwezi kumsahau Lucas Mwashambwa
Anajua kunivunja mbavu
Mimi mwenyewe wangesema nitaje Mabinti ninao vutiwa nao humu .basi Namba moja ungekuwa wewe ephen. Namba mbili ungekuwa wewe ephen na namba tatu ungekuwa wewe tuu ephen. Ikifika siku ya kutaja kama nitakuwa sijauona uzi huo naomba unitag ili jukwaa zima litambue hivyo kuwa mimi nipo upande wako.nasimama na wewe ephen katika hali zote. Hata jukwaa zima likugeuke lakini mimi nitabaki upande wako ephen.
 
Hongera sana Kijana wa ccm
 
Aisee....ila nakuita Daddy kishingo upande hata siamini Kabisa kama umezeeka..,,,, Grahams nae hupenda kujizeesha
wala usipate wasiwasi na hilo..binafsi hupenda kuwasikiliza vijana hivyo hujua maneno yao na mitazamoyao kwa haraka sana pia hufurahi sana napoona kizazi cha sasa kipo haraka sana kujua mambo ya tekilonojia mfano nakumbuka miaka ya nyuma kidogo kwa mara ya kwanza gesi za kupikia zinakuja kwa kweli nilibaki kujiuliza sana juu ya ufanisi wake na itapikapika vipi na hapo nilikua mtu mzima ajabu kwa kizazi cha sasa kajukuu kamiaka3 kanabadili chanel za kisimbuzi na kupangusa simu kama ndio kagunduzi , inashangaza kwa kweli wakati sisi hata redio ya panasonic ya mawe 12 tuliiyogopa
 
Mimi mwenyewe wangesema nitaje Mabinti ninao vutiwa nao humu .basi Namba moja ungekuwa wewe ephen. Namba mbili ungekuwa wewe ephen na namba tatu ungekuwa wewe tuu ephen. Ikifika siku ya kutaja kama nitakuwa sijauona uzi huo naomba unitag ili jukwaa zima litambue hivyo kuwa mimi nipo upande wako.nasimama na wewe ephen katika hali zote. Hata jukwaa zima likugeuke lakini mimi nitabaki upande wako ephen.
Mungu anipe nini mie!
Kuanzia sasa mimi ni chawa wako kindakindaki🤸
 
Back
Top Bottom