Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
🔦 Ngoja Mimi niwashe tochi hawanioni😂😂😂Uzi upo page ya 2749 lkn bado bila bila, sio wewe ndugu yangu wala sio mimi 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🔦 Ngoja Mimi niwashe tochi hawanioni😂😂😂Uzi upo page ya 2749 lkn bado bila bila, sio wewe ndugu yangu wala sio mimi 😂
😂😂😂😂 kweli? Haya nipe dunia nianze kuifanyia settings
😂😂😂😂😂😂😂. Wapi huko.? Shemeji yenu anajua kuniaibisha 🙌Shosti unaniwashia moto sasa 😂😂😂😂
Umeona shem kule anauza vitu vya wafu, aiseee pale hamna mtu
Kabisaa hana ubaguzi😀😀😀Anatupenda woote😅😅
Fifi kajua kutukomesha leo kutaja tunashindwa
Umesema hivyo tu, nimekumbuka nusu saa iliyopita kilo mbili zimenitoka; nyie kwa nini mnapenda mdudu? 😀 😀 😀
Vp umetajwa au ngoma bilabila😂😀Ngoja nikae huku upstairs niangalie mtanange
Sawa kijana, kwahiyo tandale unafika lini ? Uliniambia utafika au umesahauAisee tag 3 na nyingine zime futa, bado mna ita I'd zangu🤣🤣.
Aisee bro Kaka ya ng'ombe ni ng'ombe, 🤓
Nipo namalizia kuunda chombo hapa safari ianze🤣🤣🤣Fanta uwahi utuache nataka niifumue kuna viumbe siwataki kuishi nao 🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂 Kumbe kuna kulala na kuegesha🤣🤣🤣🤣Unataka mambo ya bathtub na mishower gel au sio?ukitoka hapo unaenda kulala sio kujiegesha?safiiii sana hongera bwana Certified Hater
Andika maumivu huyu humpati sahivi 🤣😭😭😭😭😭😭😭😭😭Yani huyu Equation x ni kaka angu mama kanituma huku mjini kumfukuza mwanamke wake mpya maan hatumi nyumbani pesa, amesahau kabisa nyumba.
DohHumu leo tunataja kwa machale zile ID ambazo hazichati sana ndio unataja unajua ukute hayupo Duniani sina wa kugombania nae😁😁😁😁
DohHumu leo tunataja kwa machale zile ID ambazo hazichati sana ndio unataja unajua ukute hayupo Duniani sina wa kugombania nae😁😁😁😁
AseeHumu leo tunataja kwa machale zile ID ambazo hazichati sana ndio unataja unajua ukute hayupo Duniani sina wa kugombania nae😁😁😁😁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapiiii? Kisesa au igumbiro?