Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Nimekuelewa mkuu... Sisi wengine tuchangamsha kijiwe tunapenda kukera nafsi za watu dhaifu ili wawe imara...😂👊Hapana mkuu,
hiii ni chitchat , sasa kuvutiwa na I'd? Mfano mimi smjui yeyote zaidi ya tunavochart hapa tu
Na pia kuna wakati huku nilisoma kuna watu wanajfanysha wanajiita wa kiume kumbe wa kike, au kike kumbe kiume, sasa unaweza kukurupukia ke/me mwenzako(wachache),wanatajana kulingana na mtu anavyojiclassfy kijinsia)
na wapo wanaojuana pia huenda wanajitaja kiuhalisia hatujui
Cha mwisho INASEMEKANA hapa JF Ni panoma sana..